watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Kivipi?🤣🤣🤣🤣🤣Una roho ngumu lkn
Matumizi ya Kila siku je?Kama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion 300
Ngumu sanaKama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion
Nikweli mkuuNgumu sana
Hali? Havai ? Hana familia? Hasomeshi?Kama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion 300
Dili nyeusi nazipenda jamani, mwenye connection aniunganisheWabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka
- ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu
- ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka
- ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
Hicho ni chanzo kimoja kk, kuna watu wanakunja pesa aseeHali? Havai ? Hana familia? Hasomeshi?
Upo sahihi kabisa mkuu.Hicho ni chanzo kimoja kk, kuna watu wanakunja pesa asee