Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

Simba kwa sasa ni team ndogo kwa yanga kwahiyo nimesema ukweli sijaitukana

Hata wewe unajua ila sasa hiyo mada haipo mezani kwa leo
Udogo au ukubwa hautolewi na wewe wa kidimbwini.Wenye mpira na takwimu stahiki hadi sasa ndiyo wanakupatia.Taarifa hupokewa kwanza.Majadiliano unayaandaa vidimbwini.
 
Subiri utopolo kama mtajipata kwenye klabu bingwa Afrika ndiyo mtapewa nafasi kama za hizo timu.Kwa wakati huu unajing'ata masikio yako mwenyewe.
Tujipate mara ngapi? Na msimu huu pia tupo nyie mpo shirikisho kwahiyo tulia ukacheze na kina berkane
 
Kwanza unaelewa maana ya brand? Nisije nikawa napoteza nguvu zangu tuu hapa.

Wewe Miki umeanza kumjua juzi, hukumjua wakati alipokuwa south Africa world cup ya 2010 akitoa takwimu za wachezaji wa kiafrika na wachambuzi wengi wakimu_admire kama bwana mdogo anaejua kureport mambo ya mpira kwa ufasaha kupitia Facebook.
 
Udogo au ukubwa hautolewi na wewe wa kidimbwini.Wenye mpira na takwimu stahiki hadi sasa ndiyo wanakupatia.Taarifa hupokewa kwanza.Majadiliano unayaandaa vidimbwini.
Ndani ya misimu miwili angalia yanga ilipokuwepo before na after

Ni kipofu tu ndio hatojua naye anawezq kuambiwa sasa sijui unasemea mafanikio gani? Ambayo nyie mnayo yanga hana

Kama robo mnayojivunia tumefika tayari na huko shirikisho tumefika final pia sasa na nyie wakubwa fikeni pia
 
Sijajua unazungumzia professional ipi kati ya yanga na simba nani anaongoza kupelekwa kwenye vyombo vya sheria huko FIFA kwanza mmeshamlipa okrah tayari timu kila siku inashtakiwa unasema ipo ki professional kweli ubaya ubwela.
 
Watanzania wote ukiwemo wewe ustuke
Kwa sasa hutoona shida mpaka siku atakapowanyea na nyie ndiyo utajua
Hofu ni ugonjwa mbaya sana. Sasa Miki kureport kwake negative habari za utopolo zinazuia vipi utopolo kufanya vizuri? Ina maana Miki ndio wakala wa wachezaji wote afrika?

Au Miki kureport posively Simba kunaisadia vipi Simba kutofungwa na utopolo. Yaani akili za utopolo mnazijuaga wenyewe
 
Una uhakika nimeanza kumjua juzi?

Haya tufanye hivyo maana unaona 2010 ni mbali sana eeh?

Alikuwa vizuri mwanzo na ndiyo maana hakuna aliyekuwa anamkosoa ila kwa sasa anaharibu sana na ndiyo maana anakosolewa mimi sio mtu wa kwanza kumkosoa waandishi wakubwa wameshampa zake mimi nani?
 
Tujipate mara ngapi? Na msimu huu pia tupo nyie mpo shirikisho kwahiyo tulia ukacheze na kina berkane
Ndiyo kwanza mmeanza na mtoano.Mnatakiwa muupate ushindi hadi ngazi iliyofikia Simba au/na zaidi ndiyo mtaongewa na kuandikwa hadi mvimbiwe sifa.Mmetoka shirikisho kumbuka.Klabu bingwa inaonesha bado hamna achievement yoyote yenye kuvizidi vilabu vinavyotajwa sana.Usipoelewa utatandikwa viboko.
 
Kwani hiyo la Karia halipigiwi kelele hata kama Yanga inabeba makombe? Mbona watu wametoka kulipigia kelele sana jambo la upangaji wa ratiba.
Simba kacheza mechi mbili yanga hajacheza hata mechi moja kama angeanza yanga kucheza na simba afuatie ungesikia kelele zake ila kulia kupokezana mbona enzi za malinzi yanga ilikuwa inabebwa dhahiri na simba walivumilia au kila siku mnatoa muwe nyinyi tu utopolo.
 
Sijajua unazungumzia professional ipi kati ya yanga na simba nani anaongoza kupelekwa kwenye vyombo vya sheria huko FIFA kwanza mmeshamlipa okrah tayari timu kila siku inashtakiwa unasema ipo ki professional kweli ubaya ubwela.
OK sawa
Simba alikuwa na kesi karibu msimu huu TFF ila kwa kuwa baba yenu yupo pale kawatetea .
Usajili wa lawi mmeishia wapi? Yaani mpaka mkampost nini kama sio unprofessional?

Vipi kuhusu kagoma? Awesu? Chama? Fred?benchika?

Yanga wanaweza kuwa na kesi fifa lakini lini uliwahi kuona imefungiwa kusajili? Kila msimu inasajili
 
Kawalalamikie wanaotoa takwimu.Ukiniuliza mimi kwa kuonesha hujui hata unachokibishia nitaishia kukucheka tu uchukie.
 
Huyu jamaa ni tapeli sio Mwandishi wa Habari nimeshamblock kabisa twitter sitaki kuona upuuzi wake wenye upendeleo.
 
Hii kwa mujibu wako au wa CAF? Maana kwenye viwango vyao sisi tunaona mafanikio tulipotoka na tulipofikia wewe unasemaje?
 
Wawili tu pale.
 
Waandishi wakubwa kina George Job? Ushawahi msikia Kohler anamuongelea Miki hata siku moja? Au ushamsikia Miki anamuongelea Kohler hata siku moja? Kama anaharibu kazi yake wewe piga kimya umma utamuumbua sio kyanzisha kampeni za chuki namna. The way alivo jibrand ndio arakavyojiangusha. Utopolo isikitoe akili namna hiyo.
 
Yanga waache kuziba riziki za wachezaji. Kwa nini wachezaji wanaondoka kwa migogoro? Lazima wajue kuwa mpira ni ajira na Kila mtu anatafuta penye malisho mazuri.

Mwacheni Mzinze akatafute maisha.
Kwani Mzize si ana mkataba na Yanga? Kwani ni lazima mchezaji akihitajika sehemu fulani lazima auzwe? Yanga ina project yake na ina malengo yake na ukizingatia Mzize anahitajika kipindi ambacho Yanga hawawezi kufanya tena usajili kwavile dirisha limeshagungwa na wanashiriki klabu bingwa. Mzize kaishaingizwa kwenye program ya timu hawezi kuuzwa kizembe hivyo na pia hata Mzize naye anaongozewa thamani.
 
Naona unajitoa ufahamu

Ana followers wengi hivyo huoni anaharibu reputation ya team? Na hasa habari za uongo? Unataka tuchekelee?
 
Huo si mchezo ilikuwa wanafanya yanga hao wachezaji uliowataja wote walikuwa wapo nyuma ya yanga wamepeleka zuio kwamba ni wachezaji wao swali la kujiuliza kwa nn ni wachezaji wa Tanzania tu kwa nini wachezaji wakigeni hawana mgogoro na simba timu hizo zote ukiangalia zinadhaminiwa na GSM.
 
Na kwa hizo tabia zao za maneno ya ajabuajabu tukiwa kwenye mijadala ya kimataifa huwa wanatutia aibu sana.Hadi unaamua kukaa pembeni na kucheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…