Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #61
Nakala alone TAI DUMEMbona ni wagumu kumsoma mtu? Yule ni shabiki wa Simba wala sio mwandishi wa habari. Ukimfatilia Fabrizio, Kõhler na Adams, n.k utaona wana utofauti mkubwa sana na micky kwenye uwasilishaji wa taarifa zao za michezo. Angalia idadi ya followers utaona kaachwa mbali sana na Mghana mwenzie tu Adams, ukiangalia wanaom follow micky wengi ni watanzania ambao ni mashabiki wa Simba.