TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kama ana followers wengi ina maana ana kazi nzuri. Reputation ya timu inajengwa na timu yenyewe sio wapambe nje ya timu. Wa wapi wewe?Naona unajitoa ufahamu
Ana followers wengi hivyo huoni anaharibu reputation ya team? Na hasa habari za uongo? Unataka tuchekelee?