Watasalimika wangapi?

Watasalimika wangapi?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ni siku ya furaha na huzuni pia

1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia hapa

2. Ni siku ya huzuni kwakuwa Shadrack kijana aliyechoma picha ya mkuu wa kaya kisha kukamatwa kupandishwa kizombani, kuhukumiwa kifungo na hatimaye kulipiwa faini na Watanganyika wazalendo na kutoka lupango sasa ni saa 48+ zimepita tangu atekwe na wasiojulikana

3. Ni siku ya faraja na furaha kuu kwakuwa katikati ya mtanziko, taharuki, fadhaa na mashaka makuu wakili msomi Mwabukusi kashinda kinyang'anyiro cha kuwa rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika law society) Anastahili pongezi nyingi mno maana haikuwa rahisi kabisa...!

Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania.

Watakaosalimika ni wachache kati ya wengi ama ni wengi kati ya wachache
Wafaidikaji
Chawa, kunguni na viroboto
Waunga juhudi
'Wenzetu'
Watakaoweza kukaa kimya kabisa
Wa ndio mkuu
Wasiojua kuhoji
Wasioweza kuhoji
Waabudu sanamu
Wasifuni.. nk

Hapo kabla Watanganyika walikuwa wakihoji kimya kimya na wazi wazi kuhusu wanaopotea na huko wanakopotea.. Lakini baada ya simulizi ya Katavi jibu likapatikana

Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye

Walioko kwenye list ni wengi.. Pengine hata wewe na mimi tumo!
Swali muhimu: Ni nani atasalimika?

20240803_033819.jpg
 
Ni siku ya furaha na huzuni pia
1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia hapa
2. Ni siku ya huzuni kwakuwa Shadrack kijana aliyechoma picha ya mkuu wa kaya kisha kukamatwa kupandishwa kizombani, kuhukumiwa kifungo na hatimaye kulipiwa faini na Watanganyika wazalendo na kutoka lupango sasa ni saa 48+ zimepita tangu atekwe na wasiojulikana
3. Ni siku ya faraja na furaha kuu kwakuwa katikati ya mtanziko, taharuki, fadhaa na mashaka makuu wakili msomi Mwabukusi kashinda kinyang'anyiro cha kuwa rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika law society) Anastahili pongezi nyingi mno maana haikuwa rahisi kabisa...!

Utekaji bado upo.. Utekaji na watekaji is for real.... Watu bado wanatekwa na kutokomezwa kusikojulikana na wasiojulikana.. Hali ni mbaya kuliko tunavyodhania..
Watakaosalimika ni wachache kati ya wengi ama ni wengi kati ya wachache
Wafaidikaji
Chawa, kunguni na viroboto
Waunga juhudi
'Wenzetu'
Watakaoweza kukaa kimya kabisa
Wa ndio mkuu
Wasiojua kuhoji
Wasioweza kuhoji
Waabudu sanamu
Wasifuni.. nk

Hapo kabla Watanganyika walikuwa wakihoji kimya kimya na wazi wazi kuhusu wanaopotea na huko wanakopotea.. Lakini baada ya simulizi ya Katavi jibu likapatikana

Ogopa sana mateke ya mwisho ya mnyama anayekufa.. Yaogope mno! Maana ni mateke ya kutafuta wa kuondoka naye

Walioko kwenye list ni wengi.. Pengine hata wewe na mimi tumo!
Swali muhimu: Ni nani atasalimika?View attachment 3060067
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
 
Mwambie Lissu.
 
Hata kama ila mwendazake alikuwa na mambo yake mabaya
 
Hii culture ya kuteka watu na wengine kuwapoteza kabisa itakuja kuleta machafuko makubwa sana, na walioileta ni haya majambazi ya CCM, na soon yataanza kutafunana yenyewe kwa yenyewe, hakuna aliye salama siku hizi na hata nyie CCM hamko usalama
 
Inabidi tukodi satellite za Israel kwa muda tuwe tunawafuatilia watekaji na tufahamu huwa wanatoka wapi na kujificha wapi. Polisi wana kana sio wao, TISS wana kana sio wao, na hakuna anayetaka kuhusika na utekaji, sasa tuseme ni nani?
Hapa tunapaswa kuomba msaada kwa Israel au watufunze namna wao wanavyo waona magaidi hadi ndani ya maandaki.
 
Pamoja na mapungufu au uonevu wa watawala na yote nisiyotakubali kutoka kwao,

Ila kijana alikosea sana ,huwezi kufanya kitendo cha hovyo kama kile
 
Inabidi tukodi satellite za Israel kwa muda tuwe tunawafuatilia watekaji na tufahamu huwa wanatoka wapi na kujificha wapi. Polisi wana kana sio wao, TISS wana kana sio wao, na hakuna anayetaka kuhusika na utekaji, sasa tuseme ni nani?
Hapa tunapaswa kuomba msaada kwa Israel au watufunze namna wao wanavyo waona magaidi hadi ndani ya maandaki.
Sasa hivi Nitasingiziwa Ngedere
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
Hii point atairuka kama kinyesi na hatageuka nyuma kikiangalia. Umepiga pabovu mkuu pameuma sana
 
Mshana Jr unakumbuka kipindi kile tuliwaambia watekaji ni watu ambao hawana affliation na Dkt Magufuli bali ni kundi la watu wanaotaka kuharibu image ya taasisi ya urais, ila wewe na wenzako mlikomaa na kumsifia Dkt Samia mkidhani ndiye malaika na kweli vitendo vilipungua. Ila now mnaona sasa huo mvurugano uliopo ndani ya chama na serikali na wahuni wanavyotumia nafasi kuvurugiana. Kwa hiyo wewe na kundi lako ombeni msamaha kwa Dkt Magufuli haraka sana
Wote ni wale wale walioasisi huo mfumo na hilo kundi la utekaji na watekaji.. Badala ya kunitaka nimuombe radhi Magu ungeniambia nimlaani.. Ila kwakuwa hayupo kujitetea huyu tumuweke pembeni maana Mungu alishaamua ugomvi wake!
 
Kijana mtovu wa adabu huyo!!,
Hakuna kipindi watu wapotea kama kipindi cha awamu ya tano! (mamia)
Sheria ingechukua mkondo wake sio kumteka
 
Wote ni wale wale walioasisi huo mfumo na hilo kundi la utekaji na watekaji.. Badala ya kunitaka nimuombe radhi Magu ungeniambia nimlaani.. Ila kwakuwa hayupo kujitetea huyu tumuweke pembeni maana Mungu alishaamua ugomvi wake!

Sheria ingechukua mkondo wake sio kumteka
Sihalalishi utekaji, lakini watu ni lazima wafahamu craziest Samia lovers ni wengi mno na urais ni taasisi, tunaweza kudhania ni kikosi cha serekali lakini ikawa sivyo kabisa ni wahuni tu wanafanya matendo hayo!
 
Back
Top Bottom