Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.