View attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Wewe umeona wale kule kwenye vyeo na wawakilishi na wakuu wa idara mbali mbali . Hata wanaojiita watumishi wa dini . Umejaribu kuwaza kuwa ni kwa nini wengi wao hawaishi na wanaume zao.? Hata wakisafiri safari ya kikazi , kwa nini hawasafiri na wanaume wao?
Je, haki zao za kingono kama binadamu wanazipata wapi kama sio kubadilisha wanaume kisiri siri huku wakiwa ni mfano mbaya kwenye jamii na kuwaaminisha wamawake kuwa ukiwa na pesa unapanga maisha yako bila kuulizwa na mtu.
Hao nao wameamua kuvaa kama wale wanaovaa visketi vifupi na vilivyobana makazini.
Hawaja mlazimishatu aende Sinza kuwaangalia au kuwanunua . Ni takaa yako wewe mwenyewe. Wengine tukiona mwanamke yuko nusu uchi ndio tumakosa mzuka naye kabisa.
Acha tamaa mbaya.
Mnajifanya watakatifu wakati watoto wenu kule shule za Chekechea wanapelekwa beach kwenda kuangalia vibabu na vibibi vya kizungu vikiwa vimekaa uchi.
Zuieni kwanza watu kwenda beach uchi.
Mkiambiawa msiuze rasilmali zetu mnakataa hamjui kuwa hayo ni matokeo ya kuwa na gap kubwa kati ya walio nacho na wasio macho na kukosa kazi za kufanya hasa mashambani na viwandani.
Baa zinajaa kila siku na siku hizi wanawake na wanaume wanashinda bar baa usiku na mchana .
Tena wanawake wengi siku hizi wasiojiuza ndio malaya wakubwa wa kuzaa nje ya ndoa wakati wana ndoa zao na wanaume wao wa ndoa .
Wale wanaoitwa makahaba wapo tangu enzi za gharika ya Nuhu.
Pambaneni na mafisadi wanaokwapua mali za umma na kwenda kutafuta makahaba wa kihabeshi huko nje .
Tungeni sheria za kuelekeza mavazi ya kitanzania ni yapi na matumizi ya mwanamke kutumia mwili wake yanatakiwa yafanyike muda gani na sehemu gani.
Ili wakikamatwa wajue makosa yao kisheria na sio kuwabambikizia kesi zisizo na kichwa wala miguu.