Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

Watatezi wa makahaba, ndio mnataka Tanzania yetu iendelee kuwa hivi? Rais Samia mpandishe Bomboko cheo

Hapa unashindwa kutofautisha haki za msingi za watu kuishi, kufurahi na kustarehe bila kuvunja sheria na suala la maadili. Ukiongelea maadili ni suala la subjectivity;je tuna maadili ya kitanzania hasa kwa ulimwengu wa sasa wa kitandawazi. Sasa uko club ,uko beach, uko baa utafuata maadili gani kwani hizo ni sehemu zina norms, styles na aina ya mavazi. Ulichokosea mwandishi ni kupiga picha ya club na kuongelea maadili. Naweza kusema hao uliowapiga wamefuata maadili ya club, wamevaa kiclub, wameenda na style za kileo za club. Wako appropriate kulingana na sehemu.
Alitaka wavalie juba na hijabu au mapajamašŸ˜‚
 
Hao uliowapiga picha na kuileta humu umewadhalilisha.
 
Wabongo kwenye sakata la kukamatwa makahaba ndo wameonesha upeo na akili zao finyu zilivyoo, huku wakiendekezwa na janga kuu
UNAFIKIIIIII.

Bombokooo kamata makahaba, dada poa na wateja wao runda ndaniii woteeeee, mxxxxxxxiiiiiiieeeeew
 
HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITU
Wewe kila unachokifanya apo ulipo kinaendana maadili yote ya kitanzania ? Unauliza wamevunja sheria ipi kifungu kipi unakimbilia maadili ,
 
Wewe ni mpumbavu,hakuna mtu anayeshabikia ukahaba,ila inafaa tuchague mahali pa kuweka nguvu zetu.
Tangu enzi za yesu makahaba walikuwepo Luka 36 -50 na ni biashara ambayo haitakaa ikome hadi mwisho wa dunia.

Kuna changamoto nyingi ambazo yafaa viongozi wapambane nazo kuliko kukimbizana na mtu anayeuza uchi wake kwasababu ni sawa na kufukuza upepo ,hakuna mwisho.Wilaya ya ubungo ina kero lukuki hazifanyii kazi anakimbizana na wauza uchi
Mkuu enzi ya Yesu mbona hapo ni juzi juzi tu. Haya mambo ni tangu mwanzoni mwanzoni mwa uwepo wa binadamu. Soma habari ya Yuda katika Mwanzo 38:15-18. Hiyo ni zaidi ya miaka 1000BC. Na inaelekea tayari biashara hiyo ilikuwa well-established.

Hawa viongozi wa CCM waone haya. Wameharibu elimu na uchumi wote. Sekta za uzalishaji za umma na binafsi zimedumaa. Rushwa na upendeleo vimetamalaki kila mahali. Vijana hawana ajira za maana. Kila siku wanahubiriwa wajiajiri, watumie akili; serikali haiwezi kuwaletea ugali mezani.

Vijana hawana uelewa; Hawana mitaji; masoko ya shughuli za maana yameingiliwa na kuvurugwa na hao hao makada wenye ā€œconnectionā€ zao. Halafu mabinti wakiingia kwenye hizo biashara hatarishi lakini zenye tija kubwa kwao, jamaa wanajivika utakatifu na kutumia mabavu kupambana nao. It won’t work!
 
Eti wanataka walipwe fidia B36šŸ˜„ kwa udhalilishaji šŸ˜„ utafikiri pesa zinaokotwa
 
Hii ina maana kwamba katika wilaya inayoongozwa na Bomboko, ukahaba ndio tatizo kubwa, na hakuna shida ya maji, umeme, madawati, huduma za afya, miundo mbinu na mengineyo, ambayo kwa sehemu kubwa ya nchi ndio matatizo makubwa.
 
Mkuu enzi ya Yesu mbona hapo ni juzi juzi tu. Haya mambo ni tangu mwanzoni mwanzoni mwa uwepo wa binadamu. Soma habari ya Yuda katika Mwanzo 38:15-18. Hiyo ni zaidi ya miaka 1000BC. Na inaelekea tayari biashara hiyo ilikuwa well-established.

Hawa viongozi wa CCM waone haya. Wameharibu elimu na uchumi wote. Sekta za uzalishaji za umma na binafsi zimedumaa. Rushwa na upendeleo vimetamalaki kila mahali. Vijana hawana ajira za maana. Kila siku wanahubiriwa wajiajiri, watumie akili; serikali haiwezi kuwaletea ugali mezani.

Vijana hawana uelewa; Hawana mitaji; masoko ya shughuli za maana yameingiliwa na kuvurugwa na hao hao makada wenye ā€œconnectionā€ zao. Halafu mabinti wakiingia kwenye hizo biashara hatarishi lakini zenye tija kubwa kwao, jamaa wanajivika utakatifu na kutumia mabavu kupambana nao. It won’t work!
 
Kitu ni kimoja wajiuze kwenye maeneo yaliyotengwa sio kila sehemu kwasababu naturally huwezi kuzuia ukahaba labda Taifa letu liondoke kwenye demokrasia

Kuna wanaume hawawezi kumiliki wanawake kwahiyo hawa ndio hupata huduma

Ukiondoa hii biashara ubakaji utakongezeka kwa mabinti wadogo
Excuse ya kipuuzi kabisa. Eti ubakaji utaongezeka kwa watoto. Hata kichaa anaogopa kifungo cha maisha jela.
 
Hapo mbona ni kama club hivi? Na unajuaje kama hao ni malaya na sio watu waliokwenda tu kuburudika?

The thing is utaweza kuondoa malaya wa barabarani lakini kufuta hilo jambo ni kitu kisichowezekana. Kuna Tinder, Telegram na Instagram. Kote kumejaa malaya na wamekaa clean sana huwezi kuwadhania wala kuprove ukahaba wao.

Hivyo kama hoja ni kuondoa malaya wachafu wanaoshinda barabarani basi hicho kitu ni possible na ni kitu kizuri kwa jamii na taifa. Lakini huwezi kufuta prostitution labda kishuke kimondo kingine. Hiyo ni Fact. Period.
 
View attachment 3022018

Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza

Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo

Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Wagalatia wanawatetea
 
Naomba kujua level yako ya elimu! Na level ya exposure
Nchi masikini ina big issues , mnaenda ku deal na ishu ambazo sio tatizo la Tanzania, principal of autonomy inawapa uhuru wa kufanya hivyo for as long as hawafanyi JINAI.

Tatizo lenu kubwa UVCCM ni mmekimbia shule mkaingia kwa siasa matokeo yake mnakuwa ni very low IQ na hamuwezi kukaa high tables na smart people .

Those are personal issues ,hamtoweza ku deal na hizo issues hata mfanya nini, wapo na walikuwepo tangu enzi za mitume na wataejdelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia kama kweli dunia itaisha

kama ni dhambi that is kwa imani yako , but katika imani zao , hizo ni kazi na mjifunze kuheshimu kazi za watu , wewe unadhan unayemuita baba ni kweli baba yako ? Kuna more than 50 chances kuwa huyo unayemuita baba is not your father , kachunguze; ni katika pilika za mama yako kutafuta maisha ndio ukazaliwa.

Hassan ni layman and illiterate , I wonder alifikaje hapo , jeshi la polis liangalie haya makarai yanawafanya waonekane wapuuzi , orders za hawa form 4 failures zichunguzwe before implementation

Kwanza Hassan ni mtoto wa nje ya ndoa, anatoaje hizo guts , katika iman Yake yeye ni mtoto haramu, damu haramu
 
Hao wapo club wanapali we vipi jamaa la Tarime, hebu tutolee ushamba wako.!!
Kero zote za wilaya hujaziona??
 
Back
Top Bottom