Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Uzembe na uzurulajišUlichoandika uko sawa. Ila linapokuja suala la kisheria, tueleze wamevunja Sheria gani? Vifungu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzembe na uzurulajišUlichoandika uko sawa. Ila linapokuja suala la kisheria, tueleze wamevunja Sheria gani? Vifungu gani?
Alitaka wavalie juba na hijabu au mapajamašHapa unashindwa kutofautisha haki za msingi za watu kuishi, kufurahi na kustarehe bila kuvunja sheria na suala la maadili. Ukiongelea maadili ni suala la subjectivity;je tuna maadili ya kitanzania hasa kwa ulimwengu wa sasa wa kitandawazi. Sasa uko club ,uko beach, uko baa utafuata maadili gani kwani hizo ni sehemu zina norms, styles na aina ya mavazi. Ulichokosea mwandishi ni kupiga picha ya club na kuongelea maadili. Naweza kusema hao uliowapiga wamefuata maadili ya club, wamevaa kiclub, wameenda na style za kileo za club. Wako appropriate kulingana na sehemu.
Bila kuwasahau A.k.a WALOKOLE MAMBOLEO (NEO_WALOKOLE)šNgoja wazee wa democray na agano jipya waje
Wabongo kwenye sakata la kukamatwa makahaba ndo wameonesha upeo na akili zao finyu zilivyoo, huku wakiendekezwa na janga kuu
UNAFIKIIIIII.
Bombokooo kamata makahaba, dada poa na wateja wao runda ndaniii woteeeee, mxxxxxxxiiiiiiieeeeew
Wewe kila unachokifanya apo ulipo kinaendana maadili yote ya kitanzania ? Unauliza wamevunja sheria ipi kifungu kipi unakimbilia maadili ,HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITU
Hayo maadili ya kitanzania ni yapi na niki hitaji kuya soma na yapata kwenye kitabu gani? Na ni kina nani walikaa na kuamua haya ndio maadili ya wa tanzania na mamlaka hayo walipewa na nani?HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITU
Mkuu enzi ya Yesu mbona hapo ni juzi juzi tu. Haya mambo ni tangu mwanzoni mwanzoni mwa uwepo wa binadamu. Soma habari ya Yuda katika Mwanzo 38:15-18. Hiyo ni zaidi ya miaka 1000BC. Na inaelekea tayari biashara hiyo ilikuwa well-established.Wewe ni mpumbavu,hakuna mtu anayeshabikia ukahaba,ila inafaa tuchague mahali pa kuweka nguvu zetu.
Tangu enzi za yesu makahaba walikuwepo Luka 36 -50 na ni biashara ambayo haitakaa ikome hadi mwisho wa dunia.
Kuna changamoto nyingi ambazo yafaa viongozi wapambane nazo kuliko kukimbizana na mtu anayeuza uchi wake kwasababu ni sawa na kufukuza upepo ,hakuna mwisho.Wilaya ya ubungo ina kero lukuki hazifanyii kazi anakimbizana na wauza uchi
Mkuu enzi ya Yesu mbona hapo ni juzi juzi tu. Haya mambo ni tangu mwanzoni mwanzoni mwa uwepo wa binadamu. Soma habari ya Yuda katika Mwanzo 38:15-18. Hiyo ni zaidi ya miaka 1000BC. Na inaelekea tayari biashara hiyo ilikuwa well-established.
Hawa viongozi wa CCM waone haya. Wameharibu elimu na uchumi wote. Sekta za uzalishaji za umma na binafsi zimedumaa. Rushwa na upendeleo vimetamalaki kila mahali. Vijana hawana ajira za maana. Kila siku wanahubiriwa wajiajiri, watumie akili; serikali haiwezi kuwaletea ugali mezani.
Vijana hawana uelewa; Hawana mitaji; masoko ya shughuli za maana yameingiliwa na kuvurugwa na hao hao makada wenye āconnectionā zao. Halafu mabinti wakiingia kwenye hizo biashara hatarishi lakini zenye tija kubwa kwao, jamaa wanajivika utakatifu na kutumia mabavu kupambana nao. It wonāt work!
Excuse ya kipuuzi kabisa. Eti ubakaji utaongezeka kwa watoto. Hata kichaa anaogopa kifungo cha maisha jela.Kitu ni kimoja wajiuze kwenye maeneo yaliyotengwa sio kila sehemu kwasababu naturally huwezi kuzuia ukahaba labda Taifa letu liondoke kwenye demokrasia
Kuna wanaume hawawezi kumiliki wanawake kwahiyo hawa ndio hupata huduma
Ukiondoa hii biashara ubakaji utakongezeka kwa mabinti wadogo
Wagalatia wanawateteaView attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Naomba kujua level yako ya elimu! Na level ya exposureView attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Ila wizi na ufisadi, sivyo?HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITU
HakikaSitetei ukahaba, lakini ufisadi na dhuluma ni mbaya kuliko ukahaba. Tuanzie huko kwanza.