Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
HATA UKIACHA SHERIA MAADILI TU YA KITANZANIA HAYARUHUSU HIVI VITUUlichoandika uko sawa. Ila linapokuja suala la kisheria, tueleze wamevunja Sheria gani? Vifungu gani?
Sijazungumza sheriaUlichoandika uko sawa. Ila linapokuja suala la kisheria, tueleze wamevunja Sheria gani? Vifungu gani?
Kuna mke wa mtu mtarajiwa hapo. Mkuu unaweza kutaja location ili tukahakikishe hii picha ni ya kweli?View attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Alafu hawa ni single mothers kabisa...View attachment 3022018

Kabisa mwanawane hawa wanawake na sie wanaume tunowanunua inabidi tutiwe lockup....we debase humanity kwa kweli.View attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
Watu hamtaki kabisa utani na wanyama kuguswa 😁wacha ujinga wewe kiazi kitamu. tuanze na maadili ya watawala.
Kwani wale kawakuta nje au barabaraniView attachment 3022018
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza
Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa wanadhalilisha wanawake,
Wanafanya wanawake kunekana kama bidhaa za nyanya au parachichi sokoni, ambapo mtu huenda kununua atakavyo
Ila cha ajabu kumrtokea watetezi sijui wanajiita wa haki za binadamu wanadai makahaba hawa kuchukuliwa hatua eti wanadhalilishwa..! Wao ndio wanaodhalilisha utu wa mwanamke
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo apongezwe kwa kufagia uozo huu, na opetesheni hii iwe mkoa mzima wa Dar na wa mikoa mingine waige mfano.
ukimani kuna baadhi ya watu wachache mna akili. well said budda!Hapa unashindwa kutofautisha haki za msingi za watu kuishi, kufurahi na kustarehe bila kuvunja sheria na suala la maadili. Ukiongelea maadili ni suala la subjectivity;je tuna maadili ya kitanzania hasa kwa ulimwengu wa sasa wa kitandawazi. Sasa uko club ,uko beach, uko baa utafuata maadili gani kwani hizo ni sehemu zina norms, styles na aina ya mavazi. Ulichokosea mwandishi ni kupiga picha ya club na kuongelea maadili. Naweza kusema hao uliowapiga wamefuata maadili ya club, wamevaa kiclub, wameenda na style za kileo za club. Wako appropriate kulingana na sehemu.