Watatu jela maisha kwa kukutwa na kemikali za kutengeneza ‘Smart Gin’, ‘Double Kick’

2022 smart gin ilishaingia sokoni??

By the way hizi Brands za pombe kali za bei chee za buku mbili, tunakunywa tu lakini siyo za kuaminika sana,.. Bora mtu kunywa brands zinazoeleweka kama Konyagi, Kvant, Grants, Valeur, Hanson choice n.k

Kuna Hennessey, JD, Red Label za mchongo sembuse valeur na grants? Pombe kali za mchongo zipo nyingi sana ndo maana matatizo ya figo yameongezeka.
 
Ethanol sijasema ni sumu. Ila inapotumiwa vibaya na kwakiwango ambacho sio sawa kwa mwili wa binadamu au kwa kuchanganya na vitu vingine lazima iwe sumu. Hao watu sio wakemia hivyo wanachotengeneza hakijathibitishwa kuwa halali kwa matumizi ya binadamu na mamlaka husika za kitaalamu.

Imagine mimi nataka ninywe konyagi yangu safi tu kumbe kuna mhuni kama Maghayo kaimix kikemia kemia janja janja hapo ghetoni kwake kumbe ni sumu.

Huyo ana tofauti gani na muuaji?
 
2022 smart gin ilishaingia sokoni??

By the way hizi Brands za pombe kali za bei chee za buku mbili, tunakunywa tu lakini siyo za kuaminika sana,.. Bora mtu kunywa brands zinazoeleweka kama Konyagi, Kvant, Grants, Valeur, Hanson choice n.k
Hata hizo ulizotaja zimejaa famba tu na ubaya mnywaji ni ngumu kujua.
 
Kwanini wamefungwa?
 
Na mix kabisa ili iwe gumzo haiwezekani unawaacha mbusii malishoni unaenda kuendekeza ulevi mnadani.

Mbusii wewe
 
Hizo pombe za bei mbaya ni kuwa nazo makini sana na maeneo unapotaka kununua
Unakuta hadi kwenye kiduka cha Mangi kuna Henny 😄
Rahisi ni gharama. Pombe za bei kubwa inatakiwa uende sehemu zenye hadhi. Huku uchochoroni ni hatari sana. Hata ha wa wachina mimi nawaogopa sana. Hawana utu, hawana simile, wao ni fedha tu.
 
Hiyo nakubaliana na wewe 100%. Lakini hadi sasa hakuna kifo kilichothibitishwa kimetokana na hiyo pombe feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…