Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

Hakika viongozi wanawake hawataki kuburuzwa, hongera kwa viongozi wa CWT

13April 2021


Bi Leah Ulaya rais wa Chama Cha Waalimu Tanzania atoa angalizo kwa sheria inayowahusu waalimu iliyopitishwa na Bunge.

Rais wa CWT anaonesha mapungufu ya sheria iliyopitishwa na bunge kwa sababu za msingi zifuatazo ...



Chama cha waalimu Tanzania CWT kimesisitiza kuwa hakikubaliani na uanzishwaji wa Bodi ya waalimu kwani utendaji kazi wake licha ya kufanana majukumu na Tume ya Utumishi wa Walimu pia inamkandamiza mwalimu kwa kumbebesha garama za uendeshaji. Rais wa chama cha waalim Tanzania Mwalim Leah Ulaya amesema wakati wa uundwaji wa Sheria inaunda bodi hiyo mapendekezo yaliyotolewa na waalimu hayakuzingatiwa hivyo bodi hiyo inamkandamiza mwaalimu


Sheria iliyopitishwa na Bunge ya kuundwa kwa Bodi ya Waalimu Tanzania

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

ACT SUPPLEMENT No. 6
25th September, 2018

to the Special Gazette of the United Republic of Tanzania No.7 Vol. 99 dated 25th September, 2018

Printed by the Government Printer, Dodoma by Order of Government

THE TANZANIA TEACHERS’ PROFESSIONAL BOARD ACT, 2018
ARRANGEMENT OF SECTIONS

PART I
PRELIMINARY PROVISIONS
1. Short title and commencement.
2. Application.
3. Interpretation.
PART II
THE TANZANIA TEACHERS’ PROFESSIONAL BOARD
4. Establishment of Board.
5. Composition of Board.
6. Functions of Board.
7. Powers of Board.
8. Committees of Board.
9. Delegation of power.
10. Appointment of Registrar of Board.
11. Deputy Registrar.
12. Secretariat.
13. Staff and employees of Board.
14. Appointment of supervisory officers.
15. Remuneration and allowances.

Page 2
PART III
REGISTRATION AND LICENSING OF TEACHERS
(a) Registration

16. Types of registration.
17. Register.
18. Qualification for registration.
19. Procedure for registration.
20. Publication of registered teachers.
21. Criteria for registration.
22. Issuance of certificate.
23. Payment of annual registration fee.
24. Provisional registration.
25. Extension of provisional registration.
26. Criteria for provisional registration.
27. Temporary registration.
28. Prohibition of teaching by unauthorized person
(b) Licensing of Teachers
29. Practicing licence for teacher.
30. Renewal of practicing licence for teachers.
31. Registrar may call for further information of qualification.
32. Cancellation or suspension of certificate of registration.
33. Registration of foreigners.

PART IV
CANCELLATION AND SUSPENSION OF REGISTRATION
34. Removal of name from the Register.
35. Procedure for cancellation or suspension.
36. Reinstatement.
37. Deletion of name.
38. Publication of names deleted from the Register
39. Disciplinary action on conviction.

Page 3
No. 6 The Tanzania Teachers’ Professional Board Act 2018
3
PART V
COMPLAINTS, INQUIRY AND APPEALS
40. Receipt of complaints.
41. Inquiry.
42. Committee of inquiry.
43. Power to summon witnesses.
44. Disobedience of summons and refusal to give evidence.
45. Conduct of inquiry.
46. Proceedings at inquiry.
47. Committee to report to Board.
48. Decisions.
49. Appeal.
PART VI
FINANCIAL PROVISIONS
50. Funds and resources of Board.
51. Power to borrow.
52. Annual and supplementary Budget.
53. Accounts.
54. Audit.
55. Statement of accounts and reports.
56. Lay before the National Assembly.
57. Investment.
PART VII
OFFENCES AND PENALTIES
58. Offence for illegal practice.
59. Offence for registered teacher.
60. Procurement of illegal registration.
61. False and misleading statements.
62. Offence for a teacher who fails to obey summons.
63. General offence and penalty.
PART VIII
MISCELLANEOUS PROVISIONS
64. Notification of decision of the Board.

Read more : source : Ministry of Education, Science and Technology
 
Naunga mkono hoja, hizi post za DC ni muendelezo tuu wa colonial legacy, but in reality the post is redundancy, just wastage of time, money and resouses za Watanzania masikini wa kutupa wanaishi kwenye lindi la umasikini uliotopea.
P
Hapa umesema iliyo kweli bila kuyumbayumba.
 
Unaujua mshahara wa DC ni shilingi ngapi?.
Una mtu wako yoyote TRA?, muombe akuangalizie kampuni yenye Tin.No. 141-848-089, uangalie inalipa kodi kiasi gani anually halafu gawanya kwa mshahara wa DC uangalie nawalipa mishahara ma DC wangapi wa Mama Samia!. Halafu mtu kama huyo autake u DC for what?!.
P
Mkuu naona umeamua kujilipua leo, hahahaa
 
Ushujaa wa kijinga.... kukataa teuzi maana yake unaiambia taasisi ya uraisi kwamba haijui inachokifanya na inafanya mambo kwa kukurupuka...
Tanzania ni nchi huru wewe popoma!

Hatuna forced labor mbususu wewe!

Sitaki kazi, unanilazimisha? What the fuc# is mamlaka ya uteuzi?
 
Ushujaa wa kijinga.... kukataa teuzi maana yake unaiambia taasisi ya uraisi kwamba haijui inachokifanya na inafanya mambo kwa kukurupuka.

Yaani hawa ndani ya miezi 12 sidhani kama wataendelea kuwa kwenye hizo nafasi zao..

Unashindana vip na mkuu wa nchi amir jesh mkuu?
Hata ingekuwa ww ungelikataa . Kutoka kupokea mshahara 7.8 ml hadi 3 milion??? Kisa tu mkuu wa wilaya ya huko kyerwa ?!!? Mji kuu wa wilaya ni Nkwenda .. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwanini ukatae Amri ya Amiri jeshi wa vikosi vya ulinzi na usalama ?
Yule kagomea mshahara, hv milion 3 kwa milion 7.8 inaingia akilini kweli?!?? Yaani ukaishi Nkwenda kwa milion 3 uiache milion 7 hapa mjini kweli kweli??? Khaaaaa acheni hizo bhana... Mama naye apunguze kuteua TISS kila sehemu. Waliogomea nao ndo wale wale tu
 
Ndo madhala ya kuteua watu wenye ma vitengo yao tayari ya kupiga fedha (MICHANGO ya walimu nchi nzima) .
Kwani yeye ndo anafaa kuliko vijana wengine. Mtu mmoja anacover sehemu mbili as if nchi ina underpopulation ya skilled people. NDO maana watu wanataka kuchagua upinzani sio kwamba wao ni wema watatutendea mema la hasha tunataka kubadili walaji wa mali za nchi hii Kupitia KOFIA ya siasa
Wamegundua kuwa wameondolewa kwa hila
 
Natoa angalizo kwa Mamlaka za Ulinzi na usalama za Tanzania kuhakikisha kwamba , watu watatu waliokataa teuzi za Ukuu wa Wilaya wanalindwa , Tusisikie kwamba wamepotea ama wametekwa...
Mjambiani ni mpuuzi wa wapuuzi unawapaje watu kazi bila ya wao kukuambia kuwa wanataka hiyo kazi au wanauwezo nayo ...ni sawa sawa umsajiri fei toto kuwa kipa [emoji849][emoji849] tukisema huyu ajuza kanya akili na kubakisha kinyesi watu wanasema tunatukana ...mfano unamwamisha joketi wakati unajua ndiyo katoka kujifungua hivi majuzi
 
Back
Top Bottom