Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Kulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.

Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).

Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.

Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
 
Yaani watu milioni 60+ wanadhibitiwa na askari elfu 90 tu! Duh! Basi kumbe hata watoto wadogo wachache tu wa Kimasai wako sahihi kuongoza mamia ya mifugo kwenda na kurudi kutoka malishoni huku kukiwa hakuna upinzani wowote ule.

Yaani ni kuwaswaga tu kokote wanakotaka kwenda.
 
Inashangaza sana Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii nchi.

Au ni Ile torchi inayozungushwa Kila mwaka!?
 
Kulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.

Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).

Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.

Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
Issue sio idadi mkuu
 
Back
Top Bottom