Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Kulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.

Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).

Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.

Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
Nguvu ya watawala ni raia wenyewe. Kitendo cha raia ambaye sio mwaansiasa kuwa mwanachama wa chama X, ni silaha kubwa sana kwa watawala.
 
Mkuu umeongea jambo nimekuwa nikiwaelezea watu hasa kuelekea tukio la 29/october... mbali na sapoti ya mapolisi lakin pia sisiemu wana miskule wengi sana ambao wako upande wao, hivyo hao tayari ni kikwazo kikubwa sana.

Political uprising yoyote ambayo huwa inafanikiwa raia wote lazima wawe kitu kimoja sio eti kuna group liko upande wa serikali lingine ndio linaipinga serikali, hapo tayari zoezi zima limeshafeli.

Ccm wana kiburi sababu wanajua wana watu wanawasapoti ambao ndio watawatumia kama mwamavuli wa kuua wale watakaoandama.. kwamba walikuwa wanawalinda raia wema wanaopiga kura wasidhurike na waandamanaji.
 
Hakika

Lakini mbona kama Wanaccm wenyewe wamewachoka ground au una maanisha machawa!?
 
Sio kweli. Huku nilipo bado ushindani wa vyama upo. Watu hawapimi hoja bali mapenzi ya vyama vyao. Wanashabikia siasa kama mpira wa miguu.

Ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu.

Kuna dogo mmoja ameoa juzi kati hapa. Mke wake alishika ujauzito ukatoka. Kimbembe kikaja alipompeleka hospital. Kule walimuambia arudi na mgonjwa kwakua hana hela ya matibabu. Alipokuja kwangu nikamcheka sana maana ni kijana wa mitano tena.
Nikamwambia mnaposema mitano tena muwe mnafaidika moja kwa moja na mfumo sio kufuata mkumbo.......

Ameuza kiwanja alichopewa na mzee wake kwaajili ya kujenga ndipo alipofanikiwa kumtibia mkewe. Huyu amejifunza kitu
 
Kulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.

Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).

Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.

Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
Kwani wewe huangalii Zile Video za Wanyama kule mikumi au Ngorongoro/Serengeti? Wanatokea Simba wawili wanasambaratisha Nyati mia, na analiwa mwenzao wao kimya wako pembeni wanaangalia na kusikitika tu, au wengine kabisa wanakimbia. Hofuuuu.

Kuna wakati Fulani huwa anatokea Nyati mmoja tu na kuwashambulia simba wakakimbia, hapo ndiyo uthubutu wao, anaamua.

Unavyoangalia hizo video wala usishangae, wewe na wale nati sawa sawa, ni kuthubutu, inakua precedent
 
Umesahau kitu. Kila askari anaweza kudhibiti raia takriban 20 kwa wakati mmoja given vitendea kazi alivyokabidhiwa. Hope nimeeleweka. Hivyo hapo wakiamua kutekeleza kimaelekezo, watadhuru wengi. Hivyo inatakiwa wananchi na dola lao liwr moja kwanza
 
Sio rahis kama unavofikiria
 
Ni akili ndogo tu, kwanza unamuingizia hofu kwamba ukileta ikaidi hiki kitakupata.
Pili unawatawanya, hakikisha wanakosa umoja inakuwa rahisi kuwaongoza.
Watanzania tupo kwenye mnyororo huo.
 
Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
 
Hakika

Lakini mbona kama Wanaccm wenyewe wamewachoka ground au una maanisha machawa!?
Uko sawa wanainchi wamewachoka tena sio kidogo tu... lakin nikukumbushe tu, mbali na machawa mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga na umaskini, hii elimu duni inayotolewa kwenye shule za serikali ipo kwa makusudi, ambapo ni kutengeneza idadi kubwa ya wajinga wanaoujua kusoma na kuweka tiki tu basi.

Na kwa bahati mbaya sana wajinga hao ni wafuasi wa kudumu wa sisiemu, yaan kwao ukweli ule ambao unatoka kwenye vinywa vya viongozi wa sisiemu na hawajui kama sisiemu ni chama cha maovu..... mfano kama sasa hivi wanaamini Lisu na wafuasi wake wa chadema wanataka kuleta vita nchini siku ya uchaguzi na ndio maana serikali imemshikilia Lisu.

Pamoja na kwamba wajinga hao ni wachache ukilinganisha na watanzania wanaojitambua karne hii, ila bado ni advantage kubwa sana kwa sisiemu.

Na pia kuna upepo fulani wa kidini umekuja kwa kasi sana, nadhani unajionea ukipita mitandaoni karibu 90% ya watu wanayoitetea hii serikali ni majina ya kiislamu tupu.

So ukichanganya hivyo vitu vyote utaona ni jinsi gani suala la maandamano linavyoenda kuwa gumu, licha ya kwamba sisiemu imechokwa na watu wengi.
 
Broo umemaliza kila kitu hapa.

Labda tu kwa kuongezea, kwa kuwa binadam ni kiumbe chenye haiba ya kushawishi/kushawishiwa

Inawezekana hao wachache wenye Uthubutu wakionekana wanasonga tu bila kurudi nyuma hata kama wenzao baadhi watauliwa ikibidi.

Nakuhakikishia Utaona namba itakavyoongezeka tena kutoka kwa hao hao ambao Unasema ni wanachama.

Fumbo lipo sehemu moja tu. Moja tu na Lenyewe ni Wawe na Utayari ikibidi ku Sacrifice kwaajili ye Wengine.
 
Chui watatu wanafukuza nyumbu laki moja , Sasa bana nyumbu hawajui kuwa Wana uwezo wa kuwamaliza na pembeni zao, unakumbuka Kuna muda nyumbu mmoja anajitoa mhanga anadai liwalo na liwe so anawasaidia wengine.
Kuna jamaa mmoja ivi anatishia watu eti ugali mtamy,
 
Broo umemaliza kila kitu hapa.

Labda tu kwa kuongezea, kwa kuwa binadam ni kiumbe chenye haiba ya kushawishi/kushawishiwa

Inawezekana hao wachache wenye Uthubutu wakionekana wanasonga tu bila kurudi nyuma hata kama wenzao baadhi watauliwa ikibidi.

Nakuhakikishia Utaona namba itakavyoongezeka tena kutoka kwa hao hao ambao Unasema ni wanachama.

Fumbo lipo sehemu moja tu. Moja tu na Lenyewe ni Wawe na Utayari ikibidi ku Sacrifice kwaajili ye Wengine.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa sana, ni kweli binadamu tunaongozwa na mob psychology akianza mmoja kuna uwezekano mkubwa na wengine wakafuata na hasa kama jambo lenyewe kila mtu alikuwa na shauku ya muda mrefu kulitekeleza.

Ukipita huko Tik-tok utaona jinsi vijana walivyochafukwa na kuhamasishana kwa kasi, unaweza ukadhani hili tukio linafanyika kesho... nina anticipate kama wakianza hata vijana kumi tu kwa wale waliopo tik tok basi tutaona maelfu kwa maelfu barabarani.

Ndio najua wapo mpaka wana ccm wataungana na waandamanaji pale watakapoona serikali inaelekea kushindwa na uma, maana sasa hivi kuna ccm ya samia na ya magufuli.

Wasi wasi mkubwa
Broo umemaliza kila kitu hapa.

Labda tu kwa kuongezea, kwa kuwa binadam ni kiumbe chenye haiba ya kushawishi/kushawishiwa

Inawezekana hao wachache wenye Uthubutu wakionekana wanasonga tu bila kurudi nyuma hata kama wenzao baadhi watauliwa ikibidi.

Nakuhakikishia Utaona namba itakavyoongezeka tena kutoka kwa hao hao ambao Unasema ni wanachama.

Fumbo lipo sehemu moja tu. Moja tu na Lenyewe ni Wawe na Utayari ikibidi ku Sacrifice kwaajili ye Wengine.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa tu, binadamu tuna hulka ya kupelekwa na mon pyschology...

...Ukipita huko tik tok utaona vijana wanavyopeana moto kuhusu maandamano, na kwa jinsi walivyokuwa na mzuka nina amini kabisa wakitokea hata vijana 100 wa kulianzisha, basi tutaona maelfu kwa maelfu ya barabarani wakiwemo na hao wafuasi wa ccm na hasa ile ccm ya Magufuli ambayo kwa makusudi Samia ameamua kuiweka pembeni.

Kitendawili kilichopo je, wabongo wanaweza kusustain hiyo bloody political uprsing hata kwa mwezi mzima? Maana ccm kwa madudu waliyoyafanya nchi hii hawawezi kabisa kuiachia nchi kirahisi rahisi na hasa utajiri waliochuma ambao wameandalia mpaka vizazi vyao vya tatu huko.

Kuna siku nilimskia mjeda mmoja anasema eti huko jeshini mameja wanamuogopa sana kikwete.

Yote kwa yote, naamini kuna mabadiliko makubwa sana ya kiuongozi yanakuja hapo mbeleni hata kama hii demonistration inayopangwa haitafanikiwa kwa 100%
 
Kitendawili kilichopo je, wabongo wanaweza kusustain hiyo bloody political uprsing hata kwa mwezi mzima? Maana ccm kwa madudu waliyoyafanya nchi hii hawawezi kabisa kuiachia nchi kirahisi rahisi na hata..........
Mkuu mbona huo Mwezi mmoja ni Mrefu Sana? I assure you kama kweli ikitokea trust me 1 week is More than Enough kwa hawa Kenge Kupoteana.

Japo najua Kutakuwa na Some Casualties lakini their blood won't go in vain as a result they will be rewarded with a Massive Victory.

Acha tuombe tu Vijana tuwe na Courage ya kuinitiate just the First Step.... Only the First step!
 
Asante sana mkuu kwa motivation... nitafurahi sana siku tukiikomboa nchi kutoka kwa hawa wadhalimu ambao wanatuona kama vinayambolelo tu.

Imagine mtu anakupigia simu halafu anakwambia sisi tuna uwezo wa kukuchukua mbele za watu kisha tukaenda kukuua huko na hakuna wa kutufanya jambo lolote, watanzania wataishia kupiga kelele tu mitandaoni kisha baada ya hapo watasahau...

Aisee hiyo ni dharau kubwa sana kwa watu wasiopungua 61m, inaumiza sana kwakweli hata kama hujaambiwa wewe.
 
Time is Just so near because I believe in that quote which says "You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the time"...

Kuna karibia kukucha Mkuu acha tuombe Uzima tu we gonna be the Witness when time comes.
 
Kulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.

Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).

Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.

Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
we nani kakwambia watanzania wanaunga mkono tamaa zenu za madaraka
 
Tungepata idadi yao kamili kila mkoa ingependeza
 
Back
Top Bottom