Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Mkuu umeongea jambo nimekuwa nikiwaelezea watu hasa kuelekea tukio la 29/october... mbali na sapoti ya mapolisi lakin pia sisiemu wana miskule wengi sana ambao wako upande wao, hivyo hao tayari ni kikwazo kikubwa sana.

Political uprising yoyote ambayo huwa inafanikiwa raia wote lazima wawe kitu kimoja sio eti kuna group liko upande wa serikali lingine ndio linaipinga serikali, hapo tayari zoezi zima limeshafeli.

Ccm wana kiburi sababu wanajua wana watu wanawasapoti ambao ndio watawatumia kama mwamavuli wa kuua wale watakaoandama.. kwamba walikuwa wanawalinda raia wema wanaopiga kura wasidhurike na waandamanaji.
Shida yenu inaanzia hapa hamtaki mtu awe tofauti na nyinyi kwenye fikra halafu munajiita watu wa democrasia, kwa democrasia gani ya kumuita mpinzani wako msukule? Wapuuzi nyinyi na hamuonji hata udiwan mwaka huu.
 
Kwan tarehe 29 ni mbali?
Wengne tutaenda kupga kura kama haki yetu ya msingi!
Na nyie katumieni haki yenu ya kuandamana..
NADHANI MATOKEO YA KUPGA KURA NA MATOKEO YA KUANDAMANA NDO HATUYAJUI.
 
Kuna dogo mmoja ameoa juzi kati hapa. Mke wake alishika ujauzito ukatoka. Kimbembe kikaja alipompeleka hospital. Kule walimuambia arudi na mgonjwa kwakua hana hela ya matibabu. Alipokuja kwangu nikamcheka sana maana ni kijana wa mitano tena.
Nikamwambia mnaposema mitano tena muwe mnafaidika moja kwa moja na mfumo sio kufuata mkumbo.......

Ameuza kiwanja alichopewa na mzee wake kwaajili ya kujenga ndipo alipofanikiwa kumtibia mkewe. Huyu amejifunza kitu
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
 
Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita 🤣
 
Shida yenu inaanzia hapa hamtaki mtu awe tofauti na nyinyi kwenye fikra halafu munajiita watu wa democrasia, kwa democrasia gani ya kumuita mpinzani wako msukule? Wapuuzi nyinyi na hamuonji hata udiwan mwaka huu.
Nani amekwambia anautaka hata huo udiwani?

Kwanza nyie wapuuzi mngekuwa na akili msingefuja hata hizo hela za walipa kodi kwa huu uchaguzi wenu wa kiin macho.
 
Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita
Nani amekwambia anautaka hata huo udiwani?

Kwanza nyie wapuuzi mngekuwa na akili msingefuja hata hizo hela za walipa kodi kwa huu uchaguzi wenu wa kiin macho.
Sawa hiyo October tutamjua mpuuzi ni nani kati yenu nyinyi watu 3k na watz M 60
20250906_070150.jpg
 
Yaani watu milioni 60+ wanadhibitiwa na askari elfu 90 tu! Duh! Basi kumbe hata watoto wadogo wachache tu wa Kimasai wako sahihi kuongoza mamia ya mifugo kwenda na kurudi kutoka malishoni huku kukiwa hakuna upinzani wowote ule.

Yaani ni kuwaswaga tu kokote wanakotaka kwenda.
Umejumlisha na wale wa ccm na wazanzibari.

fanya hivi, katika hao milioji 60, Toa ccm, wazanzibari, walioko mahispitalini, majeshini, wazee na watoto uone waandamanaji watakuwa wangapi?
 
Umejumlisha na wale wa ccm na wazanzibari.

fanya hivi, katika hao milioji 60, Toa ccm, wazanzibari, walioko mahispitalini, majeshini, wazee na watoto uone waandamanaji watakuwa wangapi?
Hoja ni kwanini watawala wanadharau watanzania zaidi ya millioni 60 kwa Askari 90k tu.
 
Hoja ni kwanini watawala wanadharau watanzania zaidi ya millioni 60 kwa Askari 90k tu.
Watawala ni wangapi kati ya hai milioni 60? Na watawaliwa wote wanapinga utawala huu? Vipi wale Ng'ombe wa mama nao wanadharauliwa?
 
Back
Top Bottom