Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Watawala ni wangapi kati ya hai milioni 60? Na watawaliwa wote wanapinga utawala huu? Vipi wale Ng'ombe wa mama nao wanadharauliwa?
Hata Vichaa wanadharauliwa pia lkn hawajui kama wanadharauliwa
 
Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita
Kwa
Sawa hiyo October tutamjua mpuuzi ni nani kati yenu nyinyi watu 3k na watz M 60 View attachment 3477842
Kwamba ccm inapendwa na watanzania 60m?????

Au mimi ndio sijaelewa ulichocomment hapo?

Mbona nyie machawa mko na akili za kipumbavu hivii? Yaan mko totally delusional.

Sasa na mimi nakwambie subiri uone hiyo 29/Oct mwitikio wa watu kwenye maandamano utakavyokuwa!!
 
Screenshot comment yako
 
Nathani ccm ina asilimia kubwa kushind uchaguzi huu kwa sababu asilimia ya watu wasiojitambua ni nyingi kuliko asilimia ya wanaojitambua yaani wanamsifu raisi kwa kujenga madarasa mawili kwenye kijiji kizima huo ni wajibu wake sisi hatutaki raisi wa kujisifu kwa vitu vidogo kama hivyo
 
Back
Top Bottom