Inashangaza sana Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii nchi.Yaani watu milioni 60+ wanadhibitiwa na askari elfu 90 tu! Duh! Basi kumbe hata watoto wadogo wachache tu wa Kimasai wako sahihi kuongoza mamia ya mifugo kwenda na kurudi kutoka malishoni huku kukiwa hakuna upinzani wowote ule.
Yaani ni kuwaswaga tu kokote wanakotaka kwenda.
Dogo acha hizo. Wee tulia usije ukapewa kilema cha kudumu. Kumbuka tu ugali ulivyo mtamu.Wewe waache na kiburi chao Hila 20/October pata waka moto
Askari 90,000 tu ndio wanaowapa kiburi!?Dogo acha hizo. Wee tulia usije ukapewa kilema cha kudumu. Kumbuka tu ugali ulivyo mtamu.
Lazima kinukeWewe waache na kiburi chao Hila 20/October pata waka moto
Write it on your empty foreheadWrite your reply...fanya jario ndio utajua wachache au wengi?
Ndo maana propaganda nyingi na vitisho juu ila ukweli wanaujua Kila siku wanalala na viatu, waoga mno.Bila askari watakula mafi yao ndo maana wanawapapatikia na kutumiana kwa kutuumiza
Watanzania ni "mtambo au chombo Fulani Cha usafiri"Ni akili tuu, ni sawa na mwanadamu mmoja kuweza kuendesha mtambo au chombo fulani cha usafiri ambacho ni kikubwa mara elfu kumzidi.
Je, itawezekana!?Ujinga.....wanajua kwa asili watanzania hasa vijana ni mazezeta.
Sasa 29th October watayajua haya kwa sura halisi
Issue sio idadi mkuuKulingana na takwimu za Ofisi ya Rais, Sekta ya Utumishi wa Umma (President’s Office – Public Service Management, PO-PSM), idadi ya watumishi wa umma nchini Tanzania mwaka 2025 inakadiriwa kufikia kati ya 560,000 na 600,000.
Kundi hili linajumuisha watumishi wa serikali kuu, serikali za mitaa, walimu, wauguzi pamoja na maafisa wa usalama na ulinzi. Mgawanyo wa watumishi hawa kwa sekta mbalimbali ni kama ifuatavyo: elimu (35%), afya (25%), ulinzi na usalama (15%), miundombinu na uchukuzi (10%), na sekta nyinginezo (15%).
Kwa mlingano huu, maafisa wa ulinzi na usalama ni takribani 90,000 pekee, ambapo jeshi la polisi linakadiriwa kufikia takribani 40,000 (Novemba 2013). Ikumbukwe kwamba idadi ya vituo vya kupiga kura ni 99,911 na kawaida Kila kitua huwa na askari mmoja.
Ikiwa idadi ya askari ni ndogo kiasi hiki, ni wapi watawala wanapata ujasiri wa kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya milioni 65?
Unadhani issue ni nini !?Issue sio idadi mkuu
Ngoja tuone