Watawala wanawezaje Kuidharau sauti ya Watanzania zaidi ya Million 65 kwa Askari 90,000 pekee !?

Shida yenu inaanzia hapa hamtaki mtu awe tofauti na nyinyi kwenye fikra halafu munajiita watu wa democrasia, kwa democrasia gani ya kumuita mpinzani wako msukule? Wapuuzi nyinyi na hamuonji hata udiwan mwaka huu.
 
Kwan tarehe 29 ni mbali?
Wengne tutaenda kupga kura kama haki yetu ya msingi!
Na nyie katumieni haki yenu ya kuandamana..
NADHANI MATOKEO YA KUPGA KURA NA MATOKEO YA KUANDAMANA NDO HATUYAJUI.
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
 
Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita 🤣
 
Shida yenu inaanzia hapa hamtaki mtu awe tofauti na nyinyi kwenye fikra halafu munajiita watu wa democrasia, kwa democrasia gani ya kumuita mpinzani wako msukule? Wapuuzi nyinyi na hamuonji hata udiwan mwaka huu.
Nani amekwambia anautaka hata huo udiwani?

Kwanza nyie wapuuzi mngekuwa na akili msingefuja hata hizo hela za walipa kodi kwa huu uchaguzi wenu wa kiin macho.
 
Tatizo lenu mnaassume kuwa ajenda zenu za watu Elf 30 wa mtandaoni , mnaona ni ajenda ya Watanzania wote .Kuna wananchi wengi sana wakawaida hawajui lolote kuhusu izo ajenda zenu , nashangaa mnawainclude wote.
Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita
Nani amekwambia anautaka hata huo udiwani?

Kwanza nyie wapuuzi mngekuwa na akili msingefuja hata hizo hela za walipa kodi kwa huu uchaguzi wenu wa kiin macho.
Sawa hiyo October tutamjua mpuuzi ni nani kati yenu nyinyi watu 3k na watz M 60
 
Umejumlisha na wale wa ccm na wazanzibari.

fanya hivi, katika hao milioji 60, Toa ccm, wazanzibari, walioko mahispitalini, majeshini, wazee na watoto uone waandamanaji watakuwa wangapi?
 
Hoja ni kwanini watawala wanadharau watanzania zaidi ya millioni 60 kwa Askari 90k tu.
 
Watawala ni wangapi kati ya hai milioni 60? Na watawaliwa wote wanapinga utawala huu? Vipi wale Ng'ombe wa mama nao wanadharauliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…