Wapuuzi tu hao subiri hiyo October waone wananchi watakavyo wakataa sijui watakuja na ajenda gani kujitetea hali ya kuwa uchaguzi ushapita
Kwa
Sawa hiyo October tutamjua mpuuzi ni nani kati yenu nyinyi watu 3k na watz M 60 View attachment 3477842
Nathani ccm ina asilimia kubwa kushind uchaguzi huu kwa sababu asilimia ya watu wasiojitambua ni nyingi kuliko asilimia ya wanaojitambua yaani wanamsifu raisi kwa kujenga madarasa mawili kwenye kijiji kizima huo ni wajibu wake sisi hatutaki raisi wa kujisifu kwa vitu vidogo kama hivyo