Watawala wetu Tanzania, msikilize Askofu Bagonza na hekima kuu katika andiko lake hili

Bagonza angetoa ujumbe bila kuhusisha siasa za Zambia asizozijua. Zambia nchi isiyo na lugha moja kama Tanzania haiwezi kuwa mfano mzuri. Huko hata timu ya taifa ya mpira huchaguliwa kulingana na makabila.
nadhan hana uelewa wa kutosha dhidi ya siasa za Zambia.

ukiachilia mbali utawala wa Kenneth Kaunda na Rupia Banda,

Fredrick Chiluba, Levy Mwanawasa, Michael Sata, Edgar Lungu na huyu wa sasa ni mwendo wa visasi na mwisho wa mauti ya fedheha tupu.

sasa kwavile hajui history,
anaona songombingo za HH dhidi ya EL ni jambo jipya Zambia na hivyo kufananisha na siasa za Tanzania.

Kalikawe ni useless sana na sometimes ni saa mbovu mno 🐒
 
Wewe ni mmojawapo wa washauri wanaolipwa ili washauri? Akistaafu atakwenda kuishi na watu na siyo washauri!
Kalikawe huhusianisha mambo nonsense na irrelevant sana gentleman.

kama angekua muerevu angeanza kueleza Fredrick Chiluba, Levy Mwanawasa, Michael Sata wali R.I.P kiaje kabla ya kutafuta kiki kwenye songombingo za HH dhidi ya kifo na siasa za Edgar Lungu 🐒
 
Watawala wetu ni vipofu na viziwi ndio maana hawaoni wala kusikia ila ndio dalili za mwisho la anguko lao.
I am trying to imagine a case where an opposition member becomes the president of Tanzania. What will be the fate of the current rulers? Andiko hili linatufunza tusilipe visasi. It is a pity kuwa Hakainde kme naye analipa visasi...very unfortunate
 
Copy and Paste

HILI LA ZAMBIA KAMA SI FUNZO, NI KENGELE. By Bishop Bagonza.

Rais Mstaafu wa sita wa Zambia Edgar Lungu, amefariki tarehe 5/6/2025 akiwa matibabu huko Afrika ya Kusini. Atazikwa Afrika Kusini 25/6/2025 na misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Lusaka Alick Banda.

Wakati huo huo, serikali ya Zambia imefungua kesi ya kuzuia Rais Lungu asizikwe Afrika Kusini. Kesi hiyo itasikilizwa asubuhi saa 2 asubuhi, wakati ibada ya mazishi itaanza saa 4 asubuhi mjini Pretoria.

Rais wa saba, Hekainde Hichilema (HH) ndiye yuko madarakani. Familia ya hayati Lungu imekataa kukubaliana na serikali ya Zambia kuhusu taratibu za mazishi kwa kusema marehemu aliacha wosia kuwa akifa, Rais Hichilema asisogelee wala kuhudhuria mazishi yake.

Alipokuwa madarakani, Rais Lungu alimweka ndani Rais wa sasa mara 15 kwa tuhuma mbalimbali. Naye Rais Hichilema alipomshinda Lungu na kuingia madarakani, amemuweka katika kifungo cha ndani na kumnyima uhuru wa kutembea, kwenda kanisani na hata kugombea katika uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2026.

Yote haya yanatia aibu pande zote. Lakini kwetu Tanzania, haya kama si mafunzo kwetu, basi ni kengele ya kutuamsha tuweke mambo yetu vizuri.

1. Wale tulio madarakani kama mimi tujue ipo siku madaraka haya yataondoka, kwa njia nzuri au mbaya. Kutambua tu kuwa yataondoka, kutufanye kunyenyekea na kutenda wema na haki.

2. Wale wanaotafuta madaraka ni vema kutambua kuwa “mapenzi ya kuposea, siyo ya kuolea na kutunza ndoa”. Ni rahisi kulalamika kuliko kulalamikiwa. Mkiingia madarakani msitumie sheria mbaya zilizoachwa na watangulizi wenu kuwatesa wapinzani wenu wa kisiasa. Unyenyekevu si udhaifu bali unahifadhi nguvu na raslimali.

3. Ukiwa madarakani una uwezo wote wa kukataa ushauri unaopewa. Lakini, huna uwezo wala madaraka ya kukataa madhara ya ukaidi wako wa kukataa ushauri. Machozi yako wakati wa majuto ni kama yale ya samaki. Utazomewa hata na uliowasaidia. Nimeyaona kwa Lungu.

4. Kila aliye madarakani hutoa hotuba nzuri na maelekezo sahihi. Hotuba za Hichilema ni tamu na zinavutia, lakini zinaficha wingi wa kisasi na uchungu. Wasaidizi hawasikilizi hotuba zake; wanakumbuka aliyotendewa. Kiongozi mzuri ni mwenye uwezo wa kudhibiti chawa wake.

5. Familia za viongozi humwangusha kiongozi kabla hajaangushwa na wapinzani wake. Kiongozi anayelaumiwa na familia yake kwa “kutowasaidia”, anaweza kuwa kiongozi bora kuliko “anayebeba” familia nzima. Kiongozi “akiwasahau” ndugu zake, anakuwa amewaepusha na mateso baada ya yeye kuondoka. “Akiwabeba” anaondoka na kuzama nao. Nimeliona kwa Lungu.

6. Madaraka makubwa mikononi mwa mtu mmoja ni hatari kwake, marafiki na adui zake. Kwa kuwa ndugu na marafiki hawana kinga, ni hekima wakijitenga na mwenye madaraka. Kipimo halisi cha maadili ya mwenye madaraka makubwa, ni pale hata maadui na wapinzani wake wanapojiona wako salama mikononi mwake. Yaani adui yako usimwonee wala kumpendelea.

7. Kwa viwango vya siasa za Afrika, maisha mazuri baada ya kustaafu yanaweza kuwa yale ya “hukuharibu kitu na hukutenda la maana”. Kama ulionea, utasutwa. Kama ulitenda mazuri, yataharibiwa ukiona, ufe kwa kihoro. Kila kiongozi anakuja na mambo yake. Kwa hiyo? Sikiliza watu, usisikilize washauri wanaolipwa ili kukushauri. Ukistaafu utaishi na watu, siyo washauri.

Hichilema, Uchaguzi Mkuu ni mwaka kesho 2026.
HUYU MPUUZI NAYE HANAGA LA MAANA ANAJAMBAJAMBA TU HUMU SIJUI KALA MAHARAGE YA WAPI
 
Kalikawe huhusianisha mambo nonsense na irrelevant sana gentleman.

kama angekua muerevu angeanza kueleza Fredrick Chiluba, Levy Mwanawasa, Michael Sata wali R.I.P kiaje kabla ya kutafuta kiki kwenye songombingo za HH dhidi ya kifo na siasa za Edgar Lungu 🐒
KABISA HILI ZEE LA BUKOBA HALIA AKILI HATA KIDOGO LINAPENDA KIKI NA SIFA ZA KIJINGA HALAFU ETI LINAJIITA ASKOFU ASKOFU WA NYOKWEEEEE
 
I am trying to imagine a case where an opposition member becomes the president of Tanzania. What will be the fate of the current rulers? Andiko hili linatufunza tusilipe visasi. It is a pity kuwa Hakainde kme naye analipa visasi...very unfortunate
HAPO LIMEKUFUNDISHAJE KUTOLIPA KISASI WAKATI ALILIPA KISASI? HUYU MZEE NONESENSE KABISA SIJUI ALPATAJE HUO UASKOFU MBURULA KAMA HUYU
 
kinga walizojiwekea za kutoshakiwa zitawalinda. Ndio maana kinga hizi ziliimarishwa kisheria
Sisi wa umri kubwa tuna experiece kubwa. Sheria kama hizi za kulinda maovu huwa zinavunjwa nchi ikipinduliwa/kubadilisha uongozi hata kwa njia halali!
Huwa zinaundwa "COURT MARSHAL" "za kiraia" outside the legal system kutoa haki kwa waliooonewa! Hivyo wasijidanganye!
 
Hebu weka hapa ushahidi kuwa timu ya Taifa ya Zambia huchaguliwa kwa kufuata misingi ya ukabila! CCM ni wazushi Sana.

Sasa mfanano wa siasa hupimwa kwa msingi wa matumizi ya lugha au mifumo ya kisiasa? Kwa ivo Tanzania Kwa kuwa tunatumia lugha Moja mfumo wake wa siasa ndiyo upoje?
Naona umeamua ubishe tu ili uonekane unaweza kubisha hoja zangu. Njooni wewe na Bagonza niwafundishe kuhusu siasa za Zambia.
 
Sisi wa umri kubwa tuna experiece kubwa. Sheria kama hizi za kulinda maovu huwa zinavunjwa nchi ikipinduliwa/kubadilisha uongozi hata kwa njia halali!
Huwa zinaundwa "COURT MARSHAL" "za kiraia" outside the legal system kutoa haki kwa waliooonewa! Hivyo wasijidanganye!
Mabadiliko halali sio rahisi - kwa sababu Mahakama zitakuzuia na wewe hutataka uonekane unaendesha nchi kinyume cha sheria. Kwa mfano, Tundu Lissu akiwa raisi, ili amtie ndani mtu kama Raisi Samia, itabidi atangaze hali ya hatari na Katiba kuwa suspended kwanza, na hata Bunge kuvunjwa. Sasa njia hii ni ngumu sana.

Mapinduzi - sawa kabisa. Huwa hayajali sheria na wanaweza kuwachukua viongozi waliopita, kuwaweka mstari mmoja Uwanja wa Taifa na kuwatwanga risasi kwa uovu na ufisadi wao. Kwa sababu mapinduzi hayo huendana na suspension ya Katiba automatically
 
Copy and Paste

HILI LA ZAMBIA KAMA SI FUNZO, NI KENGELE. By Bishop Bagonza.

Rais Mstaafu wa sita wa Zambia Edgar Lungu, amefariki tarehe 5/6/2025 akiwa matibabu huko Afrika ya Kusini. Atazikwa Afrika Kusini 25/6/2025 na misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Lusaka Alick Banda.

Wakati huo huo, serikali ya Zambia imefungua kesi ya kuzuia Rais Lungu asizikwe Afrika Kusini. Kesi hiyo itasikilizwa asubuhi saa 2 asubuhi, wakati ibada ya mazishi itaanza saa 4 asubuhi mjini Pretoria.

Rais wa saba, Hekainde Hichilema (HH) ndiye yuko madarakani. Familia ya hayati Lungu imekataa kukubaliana na serikali ya Zambia kuhusu taratibu za mazishi kwa kusema marehemu aliacha wosia kuwa akifa, Rais Hichilema asisogelee wala kuhudhuria mazishi yake.

Alipokuwa madarakani, Rais Lungu alimweka ndani Rais wa sasa mara 15 kwa tuhuma mbalimbali. Naye Rais Hichilema alipomshinda Lungu na kuingia madarakani, amemuweka katika kifungo cha ndani na kumnyima uhuru wa kutembea, kwenda kanisani na hata kugombea katika uchaguzi Mkuu ujao mwaka 2026.

Yote haya yanatia aibu pande zote. Lakini kwetu Tanzania, haya kama si mafunzo kwetu, basi ni kengele ya kutuamsha tuweke mambo yetu vizuri.

1. Wale tulio madarakani kama mimi tujue ipo siku madaraka haya yataondoka, kwa njia nzuri au mbaya. Kutambua tu kuwa yataondoka, kutufanye kunyenyekea na kutenda wema na haki.

2. Wale wanaotafuta madaraka ni vema kutambua kuwa “mapenzi ya kuposea, siyo ya kuolea na kutunza ndoa”. Ni rahisi kulalamika kuliko kulalamikiwa. Mkiingia madarakani msitumie sheria mbaya zilizoachwa na watangulizi wenu kuwatesa wapinzani wenu wa kisiasa. Unyenyekevu si udhaifu bali unahifadhi nguvu na raslimali.

3. Ukiwa madarakani una uwezo wote wa kukataa ushauri unaopewa. Lakini, huna uwezo wala madaraka ya kukataa madhara ya ukaidi wako wa kukataa ushauri. Machozi yako wakati wa majuto ni kama yale ya samaki. Utazomewa hata na uliowasaidia. Nimeyaona kwa Lungu.

4. Kila aliye madarakani hutoa hotuba nzuri na maelekezo sahihi. Hotuba za Hichilema ni tamu na zinavutia, lakini zinaficha wingi wa kisasi na uchungu. Wasaidizi hawasikilizi hotuba zake; wanakumbuka aliyotendewa. Kiongozi mzuri ni mwenye uwezo wa kudhibiti chawa wake.

5. Familia za viongozi humwangusha kiongozi kabla hajaangushwa na wapinzani wake. Kiongozi anayelaumiwa na familia yake kwa “kutowasaidia”, anaweza kuwa kiongozi bora kuliko “anayebeba” familia nzima. Kiongozi “akiwasahau” ndugu zake, anakuwa amewaepusha na mateso baada ya yeye kuondoka. “Akiwabeba” anaondoka na kuzama nao. Nimeliona kwa Lungu.

6. Madaraka makubwa mikononi mwa mtu mmoja ni hatari kwake, marafiki na adui zake. Kwa kuwa ndugu na marafiki hawana kinga, ni hekima wakijitenga na mwenye madaraka. Kipimo halisi cha maadili ya mwenye madaraka makubwa, ni pale hata maadui na wapinzani wake wanapojiona wako salama mikononi mwake. Yaani adui yako usimwonee wala kumpendelea.

7. Kwa viwango vya siasa za Afrika, maisha mazuri baada ya kustaafu yanaweza kuwa yale ya “hukuharibu kitu na hukutenda la maana”. Kama ulionea, utasutwa. Kama ulitenda mazuri, yataharibiwa ukiona, ufe kwa kihoro. Kila kiongozi anakuja na mambo yake. Kwa hiyo? Sikiliza watu, usisikilize washauri wanaolipwa ili kukushauri. Ukistaafu utaishi na watu, siyo washauri.

Hichilema, Uchaguzi Mkuu ni mwaka kesho 2026.
Kule Zambia kuna tabia ya kukomoana na kulipa kisasi.
1. Edgar Lungu alipata taabu nyingi kutoka kwa Frederick Chiluba.
2. Rais aliyependekezwa na Chiluba na kushinda uchaguzi ndiye aliyekuja kumnyanyasa sana Rais mstaafu Chilba.
3. Rais Kenneth Kaunda alimtesa sana Chiluba wakati Chiluba akiwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi.
4. Rais Chiluba akamyanyasa sana Rais mstaafu Kaunda hadi kumfungulia kesi ya uhaini na kumuondolea haki ya kuogombea urais.
5. Edgar Lungu akamnyanyasa Hichilema.
6. Leo hii Hichilema anamnyanyasa maiti - Edgar Lungu.

Angalizo: Hichilema ajitayarishe na yajayo, kwani kama asemavyo Rais Mwinyi kule Zanzibar "yajayo yanafurahisha"

Nionavyo: Tanzania hatujafika huko na watu tusiombe hilo.
 
Njaagonza kila siku mahubiri ya kisiasa tu. Maaskofu wa chadomo hao.
 
hapo hujawazungumzia Levy Mwanawasa Michael Sata na Rupia Banda. Visasi ni nature yao.

Kalikawe kulinganisha Zambia na Tanazania ni kutokujua au kutokuelewa siasa za Zambia kiundani 🐒
 
Kama kaandika Kwa kiswahili Kuna watu hawajaemlewa je ingeandikwa Kwa lugha za wazungu ingekuwaje.

Cha kijifunza sio mfanano wa Sheria, mamlaka au vingenevyo baina ya Tanzania na Zambia bali.

Unapopewa madaraka unayatumiaje? Je unaona hatari na hasara unayoweza kuileta Sasa na baadae? Je unaona athari Kwa watu wako wa karibu na familia?

Uwe balozi nyumba kumi au hata Rais wa nchi Kuna la kijifunza hapa
 
Nionavyo: Tanzania hatujafika huko na watu tusiombe hilo.
tumeshafika huko. Usijipe na kujiaminisha uongo. Hii list ya waliopotea ndiyo hivyo tunajenga visasi! Unadhani kweli Lisu ana nia kweli ya Uhaini? Mbowe kweli alikuwa na nia ya kutenda ugaidi? Tumeshafika hapo, it is only a matter of time! Chadema wanavyopigwa, kuuawa etc etc unadhani kweli kuna nuru huko mbele?
 
Attachments

Back
Top Bottom