Mbona unaishi zamani sana.Siasa za Zambia ziko tofauti sana pia sheria yao kuhusu maziko ya marais ni dhaifu. Sheria yao haijatoa madaraka kwa serikali kusimamia mazishi ila familia ndo yenye uamuzi mkubwa. Hili la Lungu sio la kwanza. Hayati Mwanawasa na Keneth Kaunda pia kulitokea mvutano kati ya familia na serikali kwenye maziko. Na kabla ya hapo mwaka 1980 wananchi na familia walikataa serikali kujihusisha kwenye mazishi ya aliyekuwa makamu wa rais hayati Simon Kapwepwe. Rais Kaunda alizomewa msibani na hata jeneza lililotolewa na serikali lilikataliwa. Simon Kapwewe alizikwa bila jeneza.
Askofu Bagonza atumie mfano mwingine na sio huu wa Zambia.
Shida yenu hamuupendi ukweli. HH alikuwa mpinzani wa Lungu. Mwisho wa siku mambo yakageuka na Lungu akawa mpinzani wa HH. Hapo bado hamuelewi.nadhan hana uelewa wa kutosha dhidi ya siasa za Zambia.
ukiachilia mbali utawala wa Kenneth Kaunda na Rupia Banda,
Fredrick Chiluba, Levy Mwanawasa, Michael Sata, Edgar Lungu na huyu wa sasa ni mwendo wa visasi na mwisho wa mauti ya fedheha tupu.
sasa kwavile hajui history,
anaona songombingo za HH dhidi ya EL ni jambo jipya Zambia na hivyo kufananisha na siasa za Tanzania.
Kalikawe ni useless sana na sometimes ni saa mbovu mno 🐒
wacha niwahifadhi Keneth Kaunda na Rupia Banda,Shida yenu hamuupendi ukweli. HH alikuwa mpinzani wa Lungu. Mwisho wa siku mambo yakageuka na Lungu akawa mpinzani wa HH. Hapo bado hamuelewi.
Na hizo Kinga zitalegezwa kisheria na watu watahudhuria mahakamani kama wafanyavyo maskini wanaobambikiwa kesi zisizo zao.Bagonza anasahau kwamba hawa viongozi wa kwetu wanafanya kiburi na kujitia uziwi na kuonea wapinzani wakiamini kwamba hata wapinzani wakichukua nchi kinga walizojiwekea za kutoshakiwa zitawalinda. Ndio maana kinga hizi ziliimarishwa kisheria
Angalia id yake ndo utajua kinachomsumbua.Umepuuza Ujumbe Umeenda Kukosoa Mandhari ya Ujumbe
Vipi wapinzani wao wamekamilika kuzidi watawala? Hivi Lissu bado anaendelea kushangilia kifo cha JPM kama huyu Bagonza alivyofanya akiwa Sweden?Watawala wetu ni vipofu na viziwi ndio maana hawaoni wala kusikia ila ndio dalili za mwisho la anguko lao.
Nilikua sijaangalia jina 🤣Angalia id yake ndo utajua kinachomsumbua.