Fata huu ushauriKama ni watu wa serikali wanataka kukuteka ni rahisi ila mtu baki tu ni ngumu kwenda kupewa taarifa na taasisi hizo. Serikali ina taarifa zetu nyingi haishindwi kuteka mtu!
ushauri gani?Fata huu ushauri
Kwanini wakudake?Kuna ile kujiachia sana kwenye mitandao kama facebook unadakwa tu kirahisi wakiamua kukupata
Kwahiyo wanaoahiriki utekaji ni wengi kumbe!Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako.
Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa.
Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba alipopanga,wakaenda TANESCO KUJUA MITA NAMBA HIPO WAPI?.
Tanzania mpya itakuja naomba mkuu kabisa usome uzi wanguYule mwamba kiutani utani akapotea mazima.
Enzi hizo Twitter ilikuwa ya moto sana