#COVID19 Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

Wewe una pungukiwa na nini nikitafuta cheap popularity huku jf?
 
Tofali mia tano ni kweli?wakati chumba kimoja cha kulala cha futi 10 kwa 10 ni tofali 300-350.
 
Hatuna la kuwasaidia
 
Kuna watu humu hawajawahi hata kujenga banda la kuku ila aamejawa na porojo za kutosha eti darasa unajenga kwa million 12.
 
Nenda kaombe hiyo tenda kwa hizi hesabu zako utapewa tenda ya kujenga madarasa nchi nzima
 
Mkuu hujui kitu. Nyamaza!!
 
Cement Sina hakika Kama itakuwa mifuko 50
Bati pia Sina hakika Kama zitakuwa 40 Sina hakika kama zinauzwa elfu 30
Tofali vyumba vyetu vidogo huwa vinakula tofali 400 iweje darasa ziwe tofali 500?

Sijaona Gypsum
Madirisha wameambiwa Aluminium
Sijaona tiles
Mifumo ya umeme
 
Mfano mdogo ni minimum qualifications za mwalimu kusoma ualimu Certificate
Ni Division Three na anasoma miaka 2.Wakati Certificate ya Uhasibu,Procument,Law na nyingine nyingi ni D nne tu na unasoma mwaka mmoja tu.
Watu wanasomea ualimu kwa sababu ya kukosa connection na umaskini tu,lkn kwenye sifa za kusoma sioni Kama Ualimu ni rahisi kihivyo.
 
Darasa moja linachukua tofali 900~1000,mawe inategemeana na eneo lakini sio chini ya trip 10, nondo ni 42 maana Kuna za beam na renta, bati darasa moja ni 56,cement sio chini ya mifuko 130 kwa darasa moja, mchanga trip 8~10.
Huyu jama hesabu zake kapiga sijui za wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…