Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

Naomba mkitoka huko mrudi na suluhisho la picha kufunguka. Baadhi ya picha hazifunguki
 
Na hao wazungu ndo nafikiri wameboresha hii jf imefanana sana na ile social media yao....yaani kuanzia majukwaa, threads, pm,
Unawatukana hivi hivi tu Watanzania na Waafrika.

Aisee.

Jaribu uridhie "Inferiority complex"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…