mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Sasa hizo ni hisia ambazo inawezekana zisiwe na ukweli. Kama tuhuma hizo zina ukweli basi ziwekeni wazi .Hizo containers inasemekana kuna vifaa vya hotel ya bashite ya mwanza ndo mana wamemkomalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe unalinganisha mradi wa mtu binafsi ambaye atakuwa anapata faida na msaada wa fenicha ambao kwanza ni msaada lakini hauzalishi faida yoyote ya binafsi..Ila PASKALI ni mnafiki Sana WAKATI aliyekuwa meya wa kinondon ndgu Boniface Jacob aliletaga wawekezaji wajenge kiwanda cha mbolea Kwa kutumia takataka,wale wawekezaji waliomba msamaha wa Kodi kwenye uingizwaji wa vifaa lakin serikal ilikataa na wawekezaji wale wakaondoka, JE MBOLEA AMBAYO INGEFAIDISHA TANZANIA NZIMA SI BORA KULIKO SAMANI ZA WALIMU WA DAR TU??? MBNA PASKALI MAYAALA HUKUWAHI KULITETEA HATA SIKU MOJA ??? ILA KWA MAKONDA UNATETEA KAMA MEYA ALIAMBIWA AFUATE SHERIA YA KODI BASI TUNAMUOMBA NA NDUGU MAKONDA AFATE SHERIA YA KODI........
K vant
Kwanza ni kuwa hajaagiza, bali ameletewa msaada kwa ajili ya ofisi za waalimu ambazo alihusika sana ujenzi wake. M|imi naona waliotuma ndio waliokosea utaratibu, sidhani kama yalikuwa maelekezo ya Makonda kuwa watumie jina lake na si nafasi yake. Kama kuna taarifa kinyume na tujuavyo, basi ziwekwe wazi.Kinacholeta shida ni kwanini Mh Makonda aagize mali ya umma kwa jina lake binafsi la Mr Paul Makonda badala ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam?. Jaribu kutafakali kidogo hilo!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasemaje msaada ambao serikali ilibidi igharamie, sio sahihi, ni mzigo wa makonda, sheria inasema wazi kabisa km uliipitia vizuri, kuna utaratibu wa kuleta misaada nchini na utaratibu aliotumia makonda sio unaotakiwa, kutokana na uzi wako kuna msemo unaosema kutojua sheria ni kosa pia, so sheria inafanya kazi hapo mkuu.Si kupindisha sheria bali ni suala la kutumia busara! Kodi ni mali ya umma na makonteina hayo ni mali ya umma, tena ni msaada, ambao serikali ilibidi ndo igharimie. Katika mazingira hayo kuna ubaya gani mzigo ukiruhusiwa kupita kwa maslahi ya umma. Ili mradi tu serikali ijiridhishe kuwa mzigo huo hauna mali binafsi za Mh Makonda. Kama zipo hizo tu ndo azilipie ushuru zilizobaki ziachiwe ili ofisi za waalimu zipate fenicha.
Ulikwepo wakati wanapanga makontena au umeambiwa wakati mnasali kanisa lenu kupiga ramli ya mtu apate laanaSababu ni kwamba ilikuwa inazungumzwa kana kwamba hiyo ni mali yake binafsi wakati siyo. Huo ni mzigo wenye fenicha za waalimu, na ni msaada. Sema waliotuma ndo hawakujua kama italeta shida vingiunevyo wangetumia taasisi ya elimu. Huo ni msaada kwa serikali halafu ni ajabu serikali ijitoze kodi kwenye kitu ilichosaidiwa!!
Lipa kodi wewe, acha kuongea madudu, nakubali wazo lake zuri ila sheria bwana huwa haina upenyo km huo, unavyozidi kulalamika ndo nikuulize kwanza, mfano mimi nna kontena langu la misaada sio makonda, ntapitishwa pale nikilalamika, na mimi nikipita kuna mtu atazuiliwa akiamua kufanya km hivyoYaani wewe unalinganisha mradi wa mtu binafsi ambaye atakuwa anapata faida na msaada wa fenicha ambao kwanza ni msaada lakini hauzalishi faida yoyote ya binafsi..
Mkuu ukiona wenye mamlaka wanapanda na kushuka kwa issue kama hiyo unayosema ni msaada ujue kuna jambo lipo lisilo la kawaida linaendelea. Lakini jiulize kontena za mara ya kwanza sijui 6 hazikuleta shida kwa nini hizi 20 zilete mtafaruko huo?. Pia jiulize kwa nini mara ya kwanza alizikana hizo kontena kuwa hazijui?, lakini pia kwa unavyosema kuwa kwanini walipo wasiliana na mtumaji kwa nini asimwelekeze namna nzuri ya kufikisha huo msaada kwake?.Kwanza ni kuwa hajaagiza, bali ameletewa msaada kwa ajili ya ofisi za waalimu ambazo alihusika sana ujenzi wake. M|imi naona waliotuma ndio waliokosea utaratibu, sidhani kama yalikuwa maelekezo ya Makonda kuwa watumie jina lake na si nafasi yake. Kama kuna taarifa kinyume na tujuavyo, basi ziwekwe wazi.
Tatizo kubwa ni la mpakwa mafuta kutaka kiki kwa mali za msaada kwani angetumia jina jingine kungetokea nini!
Aliyekwambia ulikua mradi wa MTU binafs nan??? Ule ulikua msaada kwenda manispaa ya kinondon na siyo Kwa meya, ambapo meya ndo alifanya JUHUDI zote za maksud kabisa kuufanikisha mradi huoYaani wewe unalinganisha mradi wa mtu binafsi ambaye atakuwa anapata faida na msaada wa fenicha ambao kwanza ni msaada lakini hauzalishi faida yoyote ya binafsi..
Yes mkuu, tubadilishe sheria ili ituruhusu sisi wenye ndugu diaspora wasishindwe kutuletea misaada yetu, kuna misaada ya vitu vingi tunataka tulete kwa majina yetu maana wengine hatuna mashirika ya misaada, wabadilishe sheria ili iruhusu wananchi kusaidia jamii zaoMkuu tafadhali msome kwa utulivu Pascal utagundua kitu. Anasema yuko pamoja na Makonda katika hili lakini sivyo, yuko pamoja na sheria.
Sheria inakataza kuingiza bidhaa eti za msaada kwa Jina lako bali taasisi na msamaha Wa kodi unaombwa kwa taratibu, jee Makonda hadi kufika cheo cha RC hajui hayo? Au kwa vile ni mpakwa mafuta sheria haimuhusu?
Ukiangalia hoja ya Mayalla ni kuwa sheria zetu ndio mbovu hazioni kuwa waalimu wanashida mpaka serikali hiyo hiyo inayotoa hela za elimu idai kodi ya vifaa vya Makonda vilivyo letwa msaada?
Hata Askofu Shoo kule Moshi akileta kontena za madawa ya Fistula kwa KCMC kama itaandikwa jina LA Shoo hata kama ni madawa muhimu atalipishwa kodi.
Makonda kachemka, amejisahau baada ya kupewa sifa. Sheria lazima zifuatwe hata kama zilikosewa. Dawa ni kuzibadilisha ili ziende na watakavyo wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo vipi?Sasa hizo ni hisia ambazo inawezekana zisiwe na ukweli. Kama tuhuma hizo zina ukweli basi ziwekeni wazi .