Ukimsikiliza waziri mwenye dhamana, naona kama kuna contradiction ya ndani kwa ndani kama unatowa bn 20 kwanjiri ya shule hizo hizo, na umeakiki hizi samani nimisada na pia zinaenda pale pale unako paleka bn 20 kwanini unazikataza......hapo tatizo liko personal hataki mtoto teule aendelea kupata popularity nakupendwa na baba. Waziri kazi yake ingekua simple tu ni kusimamia kuona kwamba vinaenda kwa walengwa tu... aache kubishana na ujinga kasha boronga uchumi anafikiri watzn watampenda anajaribia kama alivo fanya kwenye korosho......watu wengine hawanaga maona anasema sheria ila azisomi zina sema je kuhusu misada kwajiri ya umma? Viongozi wa Africa wakipata madaraka wanakosa logic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umeanza vizuri na kuharibu mwishowe. Hivi vyama na ulumumba/ufipa kina mahali hauhitajiki kabisa. Kama Uzi huu. Hatutafika kwa mtindo huuSiongei kitu hapo,
ila ebu acha niongee kidogo hapa nadhani wote wako sahihi ila Makonda inabidi ajitahidi kufuata sheria kidogo,msamaha wa kodi ni ombi sio lazima kwamba unapewa tu kila unapohitaji. NA URAFIKI WA MAKONDA NA WAARABU NAO NI QUESTIONABLE PIA na wao tunajua wako kwny hiyo industry pia.Lkn kwa vile CCM ni chama kikongwe chenye wazee sidhani kama kuna kitu kitaharibika tofauti na ingekuwa ni ACT ambapo kukiwa na mgogoro kidogo tunaskia mbunge kapata ajali ndogo wakati akitokea Dodoma kwenda Dar na amefariki wakati dereva wake hata kucha moja haijatoka.
Mkuu waziri angesema kwamba sio msada msililize vzr.....ajakanusha kama sio msada, sikiliza hiyo clipProve kama ule ni msaada, au umekuwa msaada baada ya kuzuiwa bandarini?waziri anasimamia sheria alizoapa atazilinda, sasa asiposimamia anatumbuliwa kama akisimamia akitumbuliwa basi na iwe hivyo maana hata yesu aliteswa sana kwa sababu ya kusema yeye ni mwana wa mungu
Sidhani, mpango kakurupuka. Nadhani ni suala la Muda tu Dkt Kijaji atakuwa waziri kamili.Nakubaliana na ww kabisa mkuu Ila sidhan kama DK mpango amekurupuka kumjibu Bashite inaonesha kabisa mpango amepata baraka za Baba Ake Bashite......MUDA NI MWALIMU MZURI
K vant
Mkuu waziri angesema kwamba sio msada msililize vzr.....ajakanusha kama sio msada, sikiliza hiyo clip
Sent using Jamii Forums mobile app
hajasema hamjali rais bali hamjali makonda mbele za mungu, hata kama hamjali rais pia hakumleta duniani ila ana uwezo wa kumuondoa na akimuondoa sii shida maana siku ikifika ataondoka sii kwa sababu ya bashite wala rahisiMkuu Pascal Mayalla hongera sana kwa hii makala, hakika wewe ni resource muhimu ndani ya jamii na JF.
Kiuhalisia, Mh. Mpango kaingia chaka sana ktk kulishughulikia hili suala.
Na kibaya kajibambanua kusema haogopi? Eti haogopi? Haogopi nini? Hamuogopi rais? Au?
Suala la walimu kwa Tanzania ni tete sana, lina maslahi mapana sana hasa kwa wapiga kula na zoezi la upigaji kura.
Mh. Mpango hajui iwapo hayo makontena yatapigwa mnada na walimu wakakosa hizo thamani maana yake itakuwa ni kete ya wapinzani kusema "walimu serikali haiwajali".
Mh. Mpango nadhani anajipalia makaa ya moto, very soon Naibu wake anakuja kuwa Waziri kamili wa Fedha!