Watibeli tunalaani matukio ya utekaji na watekaji wenyewe

Hapana. Jiwe alitumia mfumo huu wa kijinga kuendesha nchi, ambapo alinda kundi la wasiojulikana. Alipoingia huyu bibi akaliondoa, pakatulia.

Lkn hivi Sasa huyu bibi anaona 2025 hatoboi, hivyo anaiga kila uovu wa jiwe ili atoboe 2025.

Kwamba anawaua kama kafara au,
Anawaua kwamba hao aliowaua watamkwamisha? Au anaua ili KUTISHA wale anaoona watamkwamisha?
 
Kwamba anawaua kama kafara au,
Anawaua kwamba hao aliowaua watamkwamisha? Au anaua ili KUTISHA wale anaoona watamkwamisha?
Ameamua tu kuua.sababu,polisi wake,mahakama yake,bunge lake polisi wake,tume ya uchaguzi yake.hakuna anayeweza kumzuia asipate anachotaka.
Mbona zanzibar utekaji hakuna?
 
Waue tu wanavyojisikia. Kina Mwashambwa wanashangilia kwa sababu wapinzani wao wanapungua, kwa kutekwa na kuuawa. Wanaouawa na kutekwa wanamuomba Mungu aingilie Kati. Huyo Mungu aliyeshindwa kuzuia mauaji ya kinyama Africa kusini kwa waafrica wasiyo na hatia hadi waliposhika silaha kupambana na mkaburu. Mungu aliyeshuhudia waganda wakikanyagwa na vifaru vya Malyamungu chini ya utawala Wa Amin, Mungu ambaye anaona watoto wadogo Wa kipalestina wakiuawa kila kukcha bila kufanya lolote. Hakika watakwisha. Watakuwa kila siku wakichomolewa kwenye mabasi na miili yao kutupwa porini huko alikokuwa akitupa wapinzani usiku yule DC wa Longido.
Bila kutafuta njia nyingine mtakwisha. Vinginevyo tangazeni kuachana siasa. Mtakwisha na kuacha familia zenu wapweke na kwenye mateso makubwa.
Ni vyombo vya serikali tu vinaweza kujiamini kumchomoa mtu kwenye Gari, kumtia pingu mbele za watu na kwenda kumuua porini. Kwa kuwa ni wao, hakutakuwa na upelelezi Wala wahusika hawatakamatwa kamwe.
RIP Mzee Kibao.
Hongereni kina Mwashambwa.
 
Walisikika waganda utawala wa Obote awamu ya pili, uliuzidi ukatili ule utawala wa Idd amini. Hakika mama ametufikia
 
Wanatudhulumu fedha sawa
Ndo waanze kudhulumu na uhai
Unajua hawa jamaa hawako serious kabisa
 
Labda ni mashoga
 
Uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana
Ndio maana kuna magereza
Na mtu aliyeua naye hupewa hukumu ya kuuliwa ( kunyongwa mpaka kufa)
Hakuna sababu nyingine ya kuua mtu
Nakosoa uuaji wa aina yeyote kwa mtu
Mtu amesaliti nchi yake kuna magereza yapo kwa ajili yao anajua consequences alivyojiunga

Mtu anajaribu kuua wenzake huyo auliwe on spot hio ndio verification pekee ya kuua
The rule of Jungle being broken in Tanzania it's weird
 

Upo sahihi kwa kiwango cha Haki ya Aliyeua asiye na hatia kuuawa.
Hizo zingine nafikiri zinahitaji malezo ya kina.
 

Njia nyingine itatolewa na huyohuyo Mungu aliyeruhusu hayo uliyoyataja.
 
Ameamua tu kuua.sababu,polisi wake,mahakama yake,bunge lake polisi wake,tume ya uchaguzi yake.hakuna anayeweza kumzuia asipate anachotaka.
Mbona zanzibar utekaji hakuna?

Serikali itolee ufafanuzi jambo hili, na kutafuta suluhu
 
Watu wanweza kukutengenezea hofu ambayo haipo na kupitia hiyo hofu watu wakawa wanajituma kuua huku wakijipatia posho na kuishi maisha ya Anasa.


Hii hofu isiyojulikana waliwahi kumtengenezea yule jamaa aliyekufa.


Watu huwa wanaendeleza kile unachopenda na kukiboresha ili wayashike masikio yako.
 


Hapo kosa ambalo MTU akitenda anabidi kuuliwa ni yeye kuuwa binadamu mwenzake.


Lakini yaliyobaki sio makosa ya kuua MTU .

Binadamu ni wanyama tu Kama walivyo simba n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…