Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI
download (1).jpeg

Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa
Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸
Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke
Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao...
Kukuweka wewe kando...
Hata kama mko pamoja na mkeo...
Lakini watoto wakiwatembelea utakuta wanamwita mama chemba anakula 100k,
Lakini wewe unapewa 20k mbele ya mkeo na wakiondoka hio 20k
Ataipigia hesabu ya ndani...🥸🥸🥸

Dawa ni moja tu kijana mwenzangu nayo ni:
Kua na jicho Kama la tai kwa kutazama miaka mingi mbele
Yaani tafuta pesa za kutunza familia yako...
Lakini tafuta pesa nyingine nyingi tunza kwajili ya Amani yako ya uzeeni.
Ili usije kuwa baba ambaye ukiamka nikulalamika,ukishinda mchana ni kulalamika,kabla hujalala ni kulalamika tu...

Nimegundua kwa asilimia kubwa ukiwa baba mwenye nguvu ya uchumi,
Hata wale watoto wenye mapenzi makubwa kwa mama zao watajikomba kwako mpaka tone la mwisho🤣
Hata mama yao atakua hachezi mbali...kwenye kusubiri utangulie🥸🥴

Tafuta hela.....kiasi kwamba hutabiriki kwa familia yako.
Ili wakati yakitokea yanayowatokeaga wanaume wenzetu...
Ukiachwa pekeako...😎😎
Wewe ndio wakati wa kutafuta ka binti kakuhudumie vizuri😎😎
Hata kakila mshahara na matumizi yako
Ili mradi amani yako haipotei...
Yaani husumbui kupigia cha mtoto nini wala nini?

Baba
Ukishakua sio wa kulalamika au kusumbua watoto,wakuangalie
Automatically heshima itarejeshwa,
Kwa maana huna muda wa kulaani laani...
Watoto waliokula nguvu,wakatunzwa na jasho lako
Kisa ukubwani wameku neglect.

HITIMISHO
Wanaume Tujipende sana,na kujitunza kwa nyakati ngumu zijazo
Kwa wakati ambao hatuna tena nguvu za wakuwanyooshea vidole,
Wale tuliowafanyia hayo pindi tuna nguvu.
Tafuta pesa....
Hata kama inapatikana kwa kuokota makopo,na matakataka iweke kwa uzeeni.😎
Hata kama inapatikana kwa kuosha maiti mochwari,ndio nguvu yako ya baadae...pale ambapo lolote litatokea🤣😎
Tafuta pesa hata kwa roho ngumu,kuliko mtu asimame mbele kukuzuia ni heri atangulie yeye....🥸
tafuta pesa mambo ya mbeleni ukiishiwa nguvu yanatesa sana akili na amani ya mwanaume🤣😎

Content created by : Dogoli kinyamkela.
 
Kama mtoto wa kiume miaka yote umemuona mama yako akiamkia kwenye nyumba aliyojenga baba yako na hujawahi kulala njaa na ukapelekwa shule leo umekuwa mtu mzima una kipato unampa mama yako hela nyingi kumzidi baba yako ni vizuri ukajitathmini upya mwenendo wako.
 
Ewe mwanaume na usikie neno hili ambalo roho wa Bwana kamtuma mjumbe huyu akuletee...
 
WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI
View attachment 3163074
Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa
Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸
Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke
Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao...
Kukuweka wewe kando...
Hata kama mko pamoja na mkeo...
Lakini watoto wakiwatembelea utakuta wanamwita mama chemba anakula 100k,
Lakini wewe unapewa 20k mbele ya mkeo na wakiondoka hio 20k
Ataipigia hesabu ya ndani...🥸🥸🥸

Dawa ni moja tu kijana mwenzangu nayo ni:
Kua na jicho Kama la tai kwa kutazama miaka mingi mbele
Yaani tafuta pesa za kutunza familia yako...
Lakini tafuta pesa nyingine nyingi tunza kwajili ya Amani yako ya uzeeni.
Ili usije kuwa baba ambaye ukiamka nikulalamika,ukishinda mchana ni kulalamika,kabla hujalala ni kulalamika tu...

Nimegundua kwa asilimia kubwa ukiwa baba mwenye nguvu ya uchumi,
Hata wale watoto wenye mapenzi makubwa kwa mama zao watajikomba kwako mpaka tone la mwisho🤣
Hata mama yao atakua hachezi mbali...kwenye kusubiri utangulie🥸🥴

Tafuta hela.....kiasi kwamba hutabiriki kwa familia yako.
Ili wakati yakitokea yanayowatokeaga wanaume wenzetu...
Ukiachwa pekeako...😎😎
Wewe ndio wakati wa kutafuta ka binti kakuhudumie vizuri😎😎
Hata kakila mshahara na matumizi yako
Ili mradi amani yako haipotei...
Yaani husumbui kupigia cha mtoto nini wala nini?

Baba
Ukishakua sio wa kulalamika au kusumbua watoto,wakuangalie
Automatically heshima itarejeshwa,
Kwa maana huna muda wa kulaani laani...
Watoto waliokula nguvu,wakatunzwa na jasho lako
Kisa ukubwani wameku neglect.

HITIMISHO
Wanaume Tujipende sana,na kujitunza kwa nyakati ngumu zijazo
Kwa wakati ambao hatuna tena nguvu za wakuwanyooshea vidole,
Wale tuliowafanyia hayo pindi tuna nguvu.
Tafuta pesa....
Hata kama inapatikana kwa kuokota makopo,na matakataka iweke kwa uzeeni.😎
Hata kama inapatikana kwa kuosha maiti mochwari,ndio nguvu yako ya baadae...pale ambapo lolote litatokea🤣😎
Tafuta pesa hata kwa roho ngumu,kuliko mtu asimame mbele kukuzuia ni heri atangulie yeye....🥸
tafuta pesa mambo ya mbeleni ukiishiwa nguvu yanatesa sana akili na amani ya mwanaume🤣😎

Content created by : Dogoli kinyamkela.
Umenena UKWELI ulio halisi KABISA , Jicho la Tai.
 
mkuu kumbuka mali zote unazotafuta,majumba,mashamba na pesa mamilioni unazojaza benk..vyote hivyo sio vyako ni miliki ya watu wengine ila ww unakusanya,utajenga,unaweka pesa benki kwa niaba ya wengine...isipokuwa kile unachokitumia wakati huu sasahivi kutosheleza mahitaji yako ndio chako unachomillki...vinavyobaki vyoote sio vyako ni mali za wengine ila ww unawashikia tu kwa muda ukifa wanatwaa hizo mali zao na ajabu kwa baadhi ya watu anachokitumia sasahivi ni kiduchu kuliko kile atakachokiacha..sio watu mnapambana hadi kuua kisa pesa na mali kumbe mnawachumia wengine bila jasho kiulaini.!
 
Hakuna kitu kama hicho. Utakuwa ni naive kupitiliza kama kweli kwa asilimia 100% unadhani pesa zitakuweka karibu na familia yako. Kitu kinachofanya baba atengwe na watoto ni malezi. Kama uliwalea kwa kuwanyanyasa na kuwakwepa wao na mama yao badala ya kuwa karibu kama rafiki na kiongozi, usitegemee upendo wowote baadae.

Hizo pesa watazitumia tu lakini hawatokuwa karibu na wewe genuinely. Watakuja wakiwa na shida na zikiisha wanapotea na wewe utabaki peke yako na pesa zako.

Wewe uko karibu kiasi gani na baba yako? Kama ulilelewa vizuri huwezi elewa kwanini watu hawana ukaribu na baba zao. Narudia tena. Huwezi kuelewa. Umeandika utoto mwingi sana kama ungekuwa karibu ningekutandika ngumi ya uso.

Katika kitu nataka kuepuka ni kuwa baba mpumbavu na asiyejitambua kwa watoto wangu. Sababu baba huyo ni mzigo na laana kwa familia.
 
Back
Top Bottom