Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI
Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa
Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸
Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke
Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao...
Kukuweka wewe kando...
Hata kama mko pamoja na mkeo...
Lakini watoto wakiwatembelea utakuta wanamwita mama chemba anakula 100k,
Lakini wewe unapewa 20k mbele ya mkeo na wakiondoka hio 20k
Ataipigia hesabu ya ndani...🥸🥸🥸
Dawa ni moja tu kijana mwenzangu nayo ni:
Kua na jicho Kama la tai kwa kutazama miaka mingi mbele
Yaani tafuta pesa za kutunza familia yako...
Lakini tafuta pesa nyingine nyingi tunza kwajili ya Amani yako ya uzeeni.
Ili usije kuwa baba ambaye ukiamka nikulalamika,ukishinda mchana ni kulalamika,kabla hujalala ni kulalamika tu...
Nimegundua kwa asilimia kubwa ukiwa baba mwenye nguvu ya uchumi,
Hata wale watoto wenye mapenzi makubwa kwa mama zao watajikomba kwako mpaka tone la mwisho🤣
Hata mama yao atakua hachezi mbali...kwenye kusubiri utangulie🥸🥴
Tafuta hela.....kiasi kwamba hutabiriki kwa familia yako.
Ili wakati yakitokea yanayowatokeaga wanaume wenzetu...
Ukiachwa pekeako...😎😎
Wewe ndio wakati wa kutafuta ka binti kakuhudumie vizuri😎😎
Hata kakila mshahara na matumizi yako
Ili mradi amani yako haipotei...
Yaani husumbui kupigia cha mtoto nini wala nini?
Baba
Ukishakua sio wa kulalamika au kusumbua watoto,wakuangalie
Automatically heshima itarejeshwa,
Kwa maana huna muda wa kulaani laani...
Watoto waliokula nguvu,wakatunzwa na jasho lako
Kisa ukubwani wameku neglect.
HITIMISHO
Wanaume Tujipende sana,na kujitunza kwa nyakati ngumu zijazo
Kwa wakati ambao hatuna tena nguvu za wakuwanyooshea vidole,
Wale tuliowafanyia hayo pindi tuna nguvu.
Tafuta pesa....
Hata kama inapatikana kwa kuokota makopo,na matakataka iweke kwa uzeeni.😎
Hata kama inapatikana kwa kuosha maiti mochwari,ndio nguvu yako ya baadae...pale ambapo lolote litatokea🤣😎
Tafuta pesa hata kwa roho ngumu,kuliko mtu asimame mbele kukuzuia ni heri atangulie yeye....🥸
tafuta pesa mambo ya mbeleni ukiishiwa nguvu yanatesa sana akili na amani ya mwanaume🤣😎
Content created by : Dogoli kinyamkela.