Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Tazama hapa.
wenyewe wanaona rahaa
IMG_20221005_103230_360.jpg
IMG_20221005_103237_445.jpg
 
Me nilikuwa naruka juu ya paa la nyumba hadi chini alafu napanda tena na ngazi naruka mpaka chini... sahivi nikiuangalia umbali wake najisemea kwamba ukuaji wetu ulikuwa kwa ulinzi wa Mungu mwenyewe na si wazazi.
 
MBNA Hamna hatari wwte Hapo watu enzi zetu tumecheza michezo ya hatari na nusu kifo
 
Me nilikuwa naruka juu ya paa la nyumba hadi chini alafu napanda tena na ngazi naruka mpaka chini... sahivi nikiuangalia umbali wake najisemea kwamba ukuaji wetu ulikuwa kwa ulinzi wa Mungu mwenyewe na si wazazi.
Mimi nilikua naruka matawi ya mti wa mkwaju, ule mkwaju nkiuangalia siamini kama ni mimi nilikua kama monkey kipindi kile.. Najiuliza niliwezaje.
 
Numefanya pia hili huwa nikiangalia umbali ulevnaogopa

Back
Top Bottom