Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers
Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno, Maisha yapo very harsh ni magumu, mnapoandaliwa muwe na ngozi ngumu na baba ni rahisi kumchukia na kumuona mama mnayemdekea ndie chaguo sahihi, Mnakosea sana.
Familia nyingi ambazo watoto walipata malezi ya baba au wazazi wote zina kiasi kikubwa zaidi ya watoto kufika mbali, sina maana ya kubeza watoto waliolelewa na mama pekee lakini hizo ni facts.
Imekuwa ni kawaida kuwakuta watoto wengi wakiwa wakubwa kuwasahau kabisa baba zao, Ni majonzi haya kwa baba zenu wanayougulia kimya kimya tofauti na kina mama walioumbiwa machozi ya karibu a malalamiko, moyo wa mwanaume ni chuma kilichoficha mambo mengi mno.
Tembeleeni baba zenu, kuleni nao matunda yenu si haba kumtumia mzee kiasi flani kila mwezi, n.k.