Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
 
Kwani Kuna nini!??

Au unaongea na mchepuko wako kwa cm!? Hueleweki.
 
Muombee basi na bibi yako ambaye hakuna anaemjua huko kijijini hata siku moja moja.
 
Haihusiani tena mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa
Kwani walamba viatu siyo wananchi wanaotaka fursa kwa short cut za kujidogosha?? Mwananchi wa kawaida huwa hafurahii mateso na manyanyaso ya wenzake hata siku moja. Ukiona mtu anafurahia mateso ya binadamu mwenzake basi jua huyo ni mlamba makalio anayefanya kila awezalo apendelewe fursa fulani kama wewe hapo.
 
Wewe ndiye mlamba viatu! Unafurahia mateso wanayopitia watanzania kutokana na umasikini! Watu wanahangaika kupambana uchumi ukue umasikini uondoke wewe umeng'ang'ana na siasa zako uchwara! Wewe ni msaliti namba moja! Taifa linapambana na adui umasikini ambaye anatesa mamia ya watanzania badala yake uko bize kuvuta watu mashati kuzuia maendeleo ili waendelee kuteseka!
 
Back
Top Bottom