Sasa tofautisha kufa na kuacha siasa! Mbowe kwa hela alizonazo sioni sababu ya kung’ang’ania siasa zinazomtesa!Sasa unapomshauri Mbowe kuacha siasa una maana gani? Humuonei huruma Ruge ila unamhonea huruma Mbowe? Huruma yako ya mashaka.
Mku hata Babu Nyerere na wengine wengi mfano wao waliyapitia anayoyapitia Mbowe kwani kola zama na kitabu chakeMimi sio hater namuonea huruma anavyodhalilishwa! Mbowe ni mtu mzima sana kwa sasa sio kama sisi vijana
Mku Slaa amekaa kando kivipi kwani kumbuka mara ya mwisho alipitishiwa hotelini kwa njia uani.Ila ifikie wakati akae kando! Mbona slaa ameweza kujiengua
Mku Mimi mwanaccm ambaye ninainngia ktk vikao vyote kata yangu.Mkuu Mbowe ni Bilionea. Angekuwa Mtu wa Ku-Give up asingekuwa level hiyo ya kushambuliwa na vyombo vyote vya dola. Ni Mtu wa thamani kubwa.
Sisi maskini tujifunze kwa waliofanikiwa badala ya kutaka wawe kama sisi. Did you learn anything kutoka kwa Mzee Rugemalila ambaye ni Multibilionea na Mzee wa over 60+yrs kaka jela 4yrs.
Kwa idea yako Mzee Ruge angehonga ili aachiwe. Kijana unalala mahabusu siku moja unalialia mwaka mzima. That is not life. Ushauri wako ni wale wale wasiompenda Mbowe kwa hisia zao wanazoIjua
Kwanza huyo Dr. Slaa ni nani kwa sasa na alisajiliwa na nani kujiunga Chadema.Slaa hakuwa na cha kupoteza. Chadema imejengwa na Mbowe. Ni Legacy yake.
Siasa ndo maisha yake kwani Itikadi inaishi Rohoni sio kwenye mikono.Sasa tofautisha kufa na kuacha siasa! Mbowe kwa hela alizonazo sioni sababu ya kung’ang’ania siasa zinazomtesa!
Ruge alikuwa convict kweli. He played his cards well!
Wewe sio cha kunyea ? Au huleti uchama? Unasema ni gaidi kisa kuna limama limesemaMbulukenge ni wewe unayeshabikia na kuleta uchama mbele ya maisha ya watu
Du!Wewe sio cha kunyea ? Au huleti uchama? Unasema ni gaidi kisa kuna limama limesema
Kufanya hivyo ni utoto!Ila ifikie wakati akae kando! Mbona slaa ameweza kujiengua
Kufanya hivyo ni utoto!
Vipi familia za wale ambao wangekumbwa na ugaidi wa Mbowe? Au wao sio watu? Hawana familia?
Asee!Unamaanisha familia ya Sabaya?