Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nchi bado ni tupu. Watu wa Dar mje muwekeze huku. Labda Hizi industrial parks zinazoota huku Pwani zitasaidia kiuchumi. Ila bado nchi iko tupu. Masuala ya kubanana Dar inabidi yapungueHii nchi bado mapori ni mengi mno. Wewe kama unaharaka na ardhi kazi kwako ila tuliotembea hii nchi vizuri lamda tuje tuwe na raia pacha ndio nchii hii itajaa.
Akili kubwa sanaNchi bado ni tupu. Watu wa Dar mje muwekeze huku. Labda Hizi industrial parks zinazoota huku Pwani zitasaidia kiuchumi. Ila bado nchi iko tupu. Masuala ya kubanana Dar inabidi yapungue
Viwanja vya ukubwa gani ndugu? Naweza kupata kiwanja cha ukubwa wa hadi ekari moja kwako?Mwanza bado ni Pori lililochangamka
mjini kabisa kuna viwanja vya milioni 8 hapa hapa igoma. Umeme maji barabara vipo .. kwenda Town ni dk 20 tu
nipigie 0744033555
Hii ni video ya hizo kongani "industrial parks"Akili kubwa sana
Wewe ni dalali sivyo?Ukiwa una papara Dar unaweza kuiona imejaa, lakini hadi kesho kuna viwanja vingi tu vya bei nafuu... Tatizo lenu mkipata hela kidogo mna wehuka mnapata kiherehere na ushamba wa pesa, kiwanja cha million 5-10 unaambiwa million 20. Kama hadi leo hii Tabata, Kinyerezi, Kimara, Tegeta, Boko, Mbezi n.k kuna viwanja vingi tu vizuri mnasemaje kumejaa???
Ukiwa una papara ya kununua kiwanja hata Katavi au Tabora kumejaa hakuna viwanja...
🤣🤣Tanzania imejaa pembeni Mwa barabara tu ingia kilometa moja ndani unapishana na mafisi tu.
Zaeni tu mapori yamejaa
Waruhusu watu binafsi wamiliki ardhi Ili izalishe haina faida ikikaa tu🤣🤣
Nchi iko tupu sana.
Wawape wananchi fidia kisha wapewe wenye hela zao wawekeze kwa haki bila dhuruma. Sio kukaa nayo tu nyasi zinaota tu. Hii itachochea uwekezaji na fdi nyingi na kutengeneza ajira. Hii ya watu kubanana kwenye miji bila kazi ndio inaleta uhalifu.Waruhusu watu binafsi wamiliki ardhi Ili izalishe haina faida ikikaa tu
Nani amekuzuia kufanya umiliki? Pesa yako tuWaruhusu watu binafsi wamiliki ardhi Ili izalishe haina faida ikikaa tu
Hivi naweza kwenda serikalini, halmashauri au kwa mkurugenzi kuomba sehemu open space kwa ajili ya kufanya labda kilimo?.. maana sehemu Nyingi ipo wazi au hata hizo sehemu tunazoziona ziko wazi zimeshamilikiwa na watu?🤣🤣
Nchi iko tupu sana.
Watu wa Dar mnadhani Tanzania ni Dar tu. Ndio maana nchi haiendelei. Hata viongozi wetu wanadhani Tanzania ni Dar pekee.
Serikali ya kijiji unaeza ukaomba eneo. Au ukakodi kwa wazawa au kununua kwa wazawa. Ila ufatilie eneo lisiwe na migogoro ya wakulima na wafugaji. Au wanyama wa porini kama tembo, ndege au ngedere kama wanapita hapo. Au historia ya mafuriko au ukame.Hivi naweza kwenda serikalini, halmashauri au kwa mkurugenzi kuomba sehemu open space kwa ajili ya kufanya labda kilimo?.. maana sehemu Nyingi ipo wazi au hata hizo sehemu tunazoziona ziko wazi zimeshamilikiwa na watu?
Watu wa Dar katika ubora wenu. Mnataka kila kitu kiwe Dar 🤣🤣🤣🤣.Dar ndio Dar na Dar ndio Tanzania, period.
Nimekuelewa kaka, Lakini nafikiria umbali kutoka sehemu ulipojenga mpaka eneo lako la kazi, Yuko rafiki yangu anauza vitunguu Hapo stereo temeke, Lakini kanunua kiwanja kibaha na kaanza kuweka mawe, kama unavyojua biashara za sokoni ni asubuhi saa 11 mpaka saa 4 Mwisho, atawezaje kufika kwa wakati?Dogo usikariri kuishi si lazima uwe katikati ya mji, maisha ya familia inapendeza zaidi yakiwa nje ya mji sehem ambayo hakuna kelele za magari wala pikipiki au bar, sehem zenye changanyikeni ni nzuri kibiashara tu na siyo kuishi
SawasawaSerikali ya kijiji unaeza ukaomba eneo. Au ukakodi kwa wazawa au kununua kwa wazawa. Ila ufatilie eneo lisiwe na migogoro ya wakulima na wafugaji. Au wanyama wa porini kama tembo, ndege au ngedere kama wanapita hapo. Au historia ya mafuriko au ukame.
Pia kila halmashauri huwa wana idara ya ardhi. Huwa wanauza maeneo kwa ajili ya biashara, makazi, viwanda, uwekezaji n.k. Bei ni kwa square meter. Huwa ina range 1500 kwa sqm mpaka 20000 inategemea na matumizi na halmashauri husika.Sawasawa
Unapata mkuuViwanja vya ukubwa gani ndugu? Naweza kupata kiwanja cha ukubwa wa hadi ekari moja kwako?