Viongozi gani hao?!
Hawa hawa ma stupid, ambao wanakula mpaka Rais kawaambia wajitathmini.
Wenyewe kila siku wako Dar hata huko Dodoma hawapataki achilia mbali majimboni kwao ambapo wapo kizushi lakini familia zao na wao wapo DSm
Dar inachangia more than 60% ya kipato cha nchi, you can imagine how potential it is in every aspect.
Nani aende aka invest Nachingwea halafu apishane na hela.
We mwenyewe usikute uko Dar then unataka wenzako ndio waende huko Mwanza ndani ndani.
DSM ndio TZ na TZ ndio DSM.