Watoto na wajuku zako watanunua viwanja vya kujenga wapi?

Pia kila halmashauri huwa wana idara ya ardhi. Huwa wanauza maeneo kwa ajili ya biashara, makazi, viwanda, uwekezaji n.k. Bei ni kwa square meter. Huwa ina range 1500 kwa sqm mpaka 20000 inategemea na matumizi na halmashauri husika.
Kwa mjini kupata naona ni ngumu,nataka porini Porini huko, kama MOH dewji, same yote mpaka Tanga kaweka mikonge jamaa ana miliki ardhi aisee
 
Watu wa Dar katika ubora wenu. Mnataka kila kitu kiwe Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kila kitu lazima kiwe au kianzie Dar.

Dar ndio kila kitu, hata mbunge wako wa kolomije anakaa Dar, mawaziri kimwili wako Dodoma ila kiroho wako Dar, ndio maana kila siku hawakauki Dar.

Dar ndio TZ na TZ ndio Dar.
 
Mbona umekasirika sana?
 
Unajua Wizara asilimia 80 zilikuwa zimekodi majengo?
Dar nenda Kariakoo uone maghorofa yanavyovunjwa na kujengwa mapya
 
Unajua Wizara asilimia 80 zilikuwa zimekodi majengo?
Dar nenda Kariakoo uone maghorofa yanavyovunjwa na kujengwa mapya
Maghorofa kariakoo yasikutishe. Yale maghorofa ni kwa ajili ya biashara na kukopea hela benki sanasana crdb na akiba commercial bank (wachaga wana connection sana ya mikopo huko). Hapo fremu za chini na basement ndio zinatumika kuuzia na kutunza bidhaa.

Kinachoibeba Dar ni bandari na wingi wa watu wanaosaka fursa. Ila kama miji mingine ikiboreshwa inaweza kupunguza wingi wa watu na kuongeza fursa.
 
Kila kitu lazima kiwe au kianzie Dar.

Dar ndio kila kitu, hata mbunge wako wa kolomije anakaa Dar, mawaziri kimwili wako Dodoma ila kiroho wako Dar, ndio maana kila siku hawakauki Dar.

Dar ndio TZ na TZ ndio Dar.
Inatakiwa huu UDar uwatoke viongozi wetu. Nchi ipate maendeleo kotekote sio DAR tu.
 
Inatakiwa huu UDar uwatoke viongozi wetu. Nchi ipate maendeleo kotekote sio DAR tu.
Viongozi gani hao?!

Hawa hawa ma stupid, ambao wanakula mpaka Rais kawaambia wajitathmini.

Wenyewe kila siku wako Dar hata huko Dodoma hawapataki achilia mbali majimboni kwao ambapo wapo kizushi lakini familia zao na wao wapo DSm


Dar inachangia more than 60% ya kipato cha nchi, you can imagine how potential it is in every aspect.

Nani aende aka invest Nachingwea halafu apishane na hela.

We mwenyewe usikute uko Dar then unataka wenzako ndio waende huko Mwanza ndani ndani.

DSM ndio TZ na TZ ndio DSM.
 
Sehemu nzuri huwa haziishi. Ikijaa hii Leo inafunguka nyingine kesho.

Labda iwe kibiashara tu, ila kwa makazi wengi wanapenda pembezoni mwa miji.
 
Acha makasiriko
 
Dar imejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…