Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Apr 21, 2023 #61 Smart911 said: Ngoja tuone... Click to expand... Bado nchi ni kubwa na ni tupu. Kuna wilaya ni kubwa sana na watu wachache na ni tupu kabisa πππ
Smart911 said: Ngoja tuone... Click to expand... Bado nchi ni kubwa na ni tupu. Kuna wilaya ni kubwa sana na watu wachache na ni tupu kabisa πππ
nizakale JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,035 Reaction score 2,938 Apr 21, 2023 #62 Nurain said: Huu ukweli mchungu viongozi wetu wa kisiasa wanawekeza mikoa minne Dar, Arusha, Kilimanjaro na Mwanza ndio maana Bado tupo palepale TU.. Click to expand... Kilimanjaro sehemu gani wanakowekeza ?
Nurain said: Huu ukweli mchungu viongozi wetu wa kisiasa wanawekeza mikoa minne Dar, Arusha, Kilimanjaro na Mwanza ndio maana Bado tupo palepale TU.. Click to expand... Kilimanjaro sehemu gani wanakowekeza ?