Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mh sijawahi kuona Toka nianze huu mchezo bao litoke dakika 30 labda kama anatumia dawaSio mnene na hana kitambi
90% ya watu wanapiga goli moja moja.
Round zinapigwa labda kila baada ya dk 30 na mimi ninayepiga 1 na kulala wote si tupo sawa
Hiyo ya 90% ni kweli, wala tusikutishe humu stori za changamsha genge ni nyingi πSio mnene na hana kitambi
90% ya watu wanapiga goli moja moja.
Hapana hatuko sawa π siku baMtu wako akikupigisha raundi 3 akakukojoza mpaka ukaishiwa nguvu, ndiyo utaelewa!Round zinapigwa labda kila baada ya dk 30 na mimi ninayepiga 1 na kulala wote si tupo sawa
Si hapo kwenye Mambo ya kimoja Mara viwili hapo nyuma haukua hivyo daaaahNimeharibika na niniπ
Hujanielewa namaanisha kupumzika dk zaidi ya 30Mh sijawahi kuona Toka nianze huu mchezo bao litoke dakika 30 labda kama anatumia dawa
Akishindwa kutembea atakuja kututambia humuHiyo ya 90% ni kweli, wala tusikutishe humu stori za changamsha genge ni nyingi π
Hapana hatuko sawa π siku baMtu wako akikupigisha raundi 3 akakukojoza mpaka ukaishiwa nguvu, ndiyo utaelewa!
Usicheke, watu wanateseka na mengi, ni vile hawasemi tu πShemeji akiwa na mkitambi Mimi nikucheka tuπ
KumbeeHujanielewa namaanisha kupumzika dk zaidi ya 30
Hao wanaume wanaokojoza round ya 3 mimi ndo siwataki, kwanini tusimalizane round ya 1Hiyo ya 90% ni kweli, wala tusikutishe humu stori za changamsha genge ni nyingi π
Hapana hatuko sawa π siku baMtu wako akikupigisha raundi 3 akakukojoza mpaka ukaishiwa nguvu, ndiyo utaelewa!
Mimi mbona nasemaUsicheke, watu wanateseka na mengi, ni vile hawasemi tu π
Wewe una masihara mengiMimi mbona nasema
Mhmm Sio kweli ,humo humo Kuna ya ukweli mbonaWewe una masihara mengi
Usichoke, kazana labda ipo siku atakuelewa πHanitaki huyu , hapa nafanya kubeti tuπ€
Moja halina Raha labda kwako Mimi nikikukunja utapiga yoweHao wanaume wanaokojoza round ya 3 mimi ndo siwataki, kwanini tusimalizane round ya 1
Pole brother nakuonea huruma ππHanitaki huyu , hapa nafanya kubeti tuπ€
Tatzo langu najifanya sharuku khan sanaUsichoke, kazana labda ipo siku atakuelewa π
Mbona umempa pole kunani tena πAisee pole sana
Nyie maneno mengi ndo huwa mnaomba majiMoja halina Raha labda kwako Mimi nikikukunja utapiga yowe
Nikizidiwa nisiseme moto ukizidi π₯π₯ ila Kuna mbinu nikifanya utasusa hamchelewi nyie mara ooh baby nashindwa kupumuaNyie maneno mengi ndo huwa mnaomba maji
Anita amekwenda bwashee ,nimefungwa jela kidogo na kutolewa kaolewaPole brother nakuonea huruma ππ
Apewe hata uji aiseeMbona umempa pole kunani tena π