Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

NAKUBALI!!!! NAKUBALI!!!!! MKUU UMEMALIZA KILA KITU KWA HESHIMA YAKO NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUONYESHA MSISITIZO🙏

PIGA NYUNDO ZA UTOSI MPAKA DAMU ZITOKE KWENYE HIZI BLACK KENGE ZISIZOSIKIA UKWELI ZENYEKUOTA MIUJIZA PUMBAVU KABISA👍😂😂😂😂

NILIKUWA NATAFUTA MWENYE AKILI NA MAONO KAMA YANGU. HONGERA SANA, HILI NI BANDIKO BORA SANA LA KUFUNGIA HESABU ZA MWAKA NA KUFANYIA TAFAKURI MALENGO NA MIPANGO YA KILA MMOJA WETU.🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏
 
Hawa waafrika wanapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu au supernatural power yeyote ile, itakuja kuwasaidia shida zao na familia zao.

Vijana wanakurupuka kuzaa huko, Halafu umaskini ukisha watwanga kisawasawa wanakuja hapa JF kulia lia na kuomba ushauri.
 
Wamuulize hata diamond platinumz basi hawashauri mondi kapata mtoto wa kwanza Akiwa na mafinikio ana uhakika wa maisha kashapitia maisha ya msoto sana Sasa watu hawajifunzi
Hawa waafrika hasa waswahili wanadhani kuleta watoto duniani ni kama kuangua maembe mtini.

Ndio maana umaskini na ukapuku vina watwanga kisawasawa.

Watoto ni gharama, si baraka.

Halafu unakuta lijitu hilohilo linalo sema "watoto ni baraka" halitunzi familia.

Unajua waafrika wanapaswa kucharazwa viboko kufundishwa malezi ya watoto ndio waelewe.
 
kuna wengine wamefungua uzi hapo wanaambizana kuwa angalau kama umefika miaka 30 uwe na mtoto, yaani unajiuliza hivi kwa aina hii ya raia kuna kutoboa kweli🥴😁😁😁

Mtu mwenye ana miaka 30 lakini hana reasoning wala critical thinking ya kufanya daily expenses za mtu mmoja kwenye house hold na akaona kuwa uzazi ni changamoto. Mtu huyu unategemea atagundua nini kwa mfano????

Unakuta mtu yeye mwenyew kula balanced diet hawezi amejaa magonjwa na utapiamlo lakini bado yupo anakazana kuleta vitoto aje avilishe ugali na wali alafu tunaanza kujiuliza mbona mitoto yetu haina ubunifu😂😂😂😂😂😂😂😂pumbavu maskini acheni masihara hamna miujiza bila kujipanga!!!!
 
Kwanza kama mtu kafika umri wa miaka 30 na hawezi hata kujihudumia yeye mwenyewe , Huyo hafai kabisa hata kuzaa watoto.

Atakuja kuwatesa bure na kuendeleza umaskini kwenye jamii.
 
Kwanza kama mtu kafika umri wa miaka 30 na hawezi hata kujihudumia yeye mwenyewe , Huyo hafai kabisa hata kuzaa watoto.

Atakuja kuwatesa bure na kuendeleza umaskini kwenye jamii.
Hawa watatuletea MALAYA,WEZI,VIBAKA,OMBAOMBA,CHAWA NA MAJAMBAZI.

Kama umesikiliza hotuba ya mstaafu kwenye msiba,,,,,,hamna miujiza kufika position ya kukaa cabinet au kuwa kwenye system ya wafanya maamuzi kama hujaandaliwa na waliokutangulia😄😄😄maskini tutaendelea kuwa walimu huko halmashauri na maafisa mifugo na uvuvi.
 
Huo Uzi WA kipumbavu nimeuona, anashauri mtu akiwa na miaka 30 awe tayari na mtoto hata asipokua na kazi, Yani awe na majukumu tayar halafu ndio aanze kutafuta kazi
 
Maskini wengi hasa waafrika wanazaa hovyo hovyo tu bila mpangilio, Sijui wanategemea nani aje awasaidie kulea wanao?
 
Watoto ni baraka ili mradi uwe na Watoto ambao unaweza kuwapatia stahiki zao zote bila shida.
 
Hata wewe ulikuwa hasara kwa wazazi wako
 
Huyu sasa ndio great thinker.
Sasa sie maskini lakini ujue burudani peke tunayoweza imudu ni kugegeduana na hivyo kuzaliana tutazaliana tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…