Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
š umeamua unafata kauli ya** tuzae kujaza Dunia**Ningekuwa mwanaume ningezaa watoto hata 100.
Natamani Sana watoto kama Una uwezo njoo tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š umeamua unafata kauli ya** tuzae kujaza Dunia**Ningekuwa mwanaume ningezaa watoto hata 100.
Natamani Sana watoto kama Una uwezo njoo tuyajenge
Kufilisika ni kwa watu wajinga, maskini na wapumbavu kama wewe.We jamaa huwaga ni mjinga sana
What if leo una hela ila baada ya miaka kumi au kumi na tano ukafilisika mbona unaakili ndogo sana
UtMaelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa huko mashariki ya kati.
Hii inadhihirisha wazi kwamba, Hakuna Mungu wa kuhurumia au kusaidia kitu au mtu yeyote yule.
Kila mtu hapa duniani atajipambania yeye na kizazi chake, yeye mwenyewe.
Hakuna Mungu wa kusaidia chochote kile.
View attachment 3166761
Serikali ipige faini kwa wanaozidisha watoto zaidi ya wanne....mnazaa zaaa na mnaona Hali ya maisha ni ngumu na hamna ajiraNianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.
Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.
Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.
Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.
Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.
Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.
Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.
This world š is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.
I'm out.
Malezi ya mtoto ndio huweza kupelekea tabia zake.Kulea ni nini hasa!!?
Elim Hadi chuo kikuu au mtaji wa mapesa akaunti!!?
Unaamini ukilea kwa dhana yako majibu lazima yawe positive!!?nauliza tu!!!
Timiza wajibu lakini hatma ya mtoto ni fumbo tu mkuu,nani ajuaye kuwa mtotowako awezakuwa shoga au mraibu wa dawa za kulevya hasta kama katoka familia bora au kasoma sana!!?
Hakuna uzao wa baraka wala laana.Nani ajuaye!!?
Kuna uzao was baraka na uzao wa laana hapa duniani!kama uzao wako ni wa laana hata usomeshe vipi utaona laana tu Kwa watoto!!
Ukiwalea na kuwadhibiti vyema watoto wako wala hawawezi kuwa na tabia mbovu.Zaa kwa kadiri uwezavyo na Lea kwa kadri ya majaaliwa huku ukiwaombea coz zama hizi ni za uovu hapa duniani!!
Maturity ni uwezo wa kuyatazama mambo katika three dimension sio one way process !!
Maisha hayana kanuni halisi ya kufuata zaidi ya discipline na bahati Kwa mtu husika!!!
Makinika !
Hapa wafia dini watakuona mbabaishaji tu, Hongera MUNGU akubariki mkuu, umetumia maarifa aliyokujalia, kuelimisha jamii.Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.
Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.
Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.
Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.
Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.
Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.
Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.
This world š is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.
I'm out.
Ndio kinacholeta ugomvi kwenye familia nyingiWa 4 wanatosha mkuu leba sio kama kwenda kariakoo,kuleta mtu duniani is never easy task , maana yake ni majukumu ya malezi yanayogharimu pesa,muda bila mwisho ,stress za malezi hajaumwa ,ale asome , kujinyima uhuru wako binafsi,kujikana nafsi,sometimes hata kuacha kazi zako zinazokuingizia kipato ili ulee mtoto awe mwenye manufaa na awe vile unataka na akubalike katika jamii alooo sio mchezo,KUZAA SIO KAZI KAZI KULEA
Na fainali ya malezi ya mtoto huja kipindi anapojitegemea na sio wakati unammiliki nyumbani!!Ukiwalea na kuwadhibiti vyema watoto wako wala hawawezi kuwa na tabia mbovu.
Labda waamue kubadilika huko ukubwani wakiwa kwenye himaya zao.
Ila mtoto akibadilikia kwenye himaya yako, Tambua wewe ndio mwenye makosa kwenye malezi.
HUu uzi leo unatembea kama speed ya MwangaWe jamaa huwaga ni mjinga sana
What if leo una hela ila baada ya miaka kumi au kumi na tano ukafilisika mbona unaakili ndogo sana
Mkuu chanzo ni maisha magumu.Tukiacha suala la pesa ambalo lina kanuni zake kidunia, Kuna suala la kumjenga mtoto kihisia, wazazi wengi hatulijui hili suala.
Wazazi tuwe tayari kulea watoto kwa commitments za hali ya juu sana, Unakuta watoto wadogo wadogo wako heart brokenš
Hatuko tayari kwa huu mjadala.
Mleta mada ana hoja.
Wafia dini wameaminishwa na kuaminishwa dhana zisizo na ukweli.Hapa wafia dini watakuona mbabaishaji tu,
Mimi siamini kwenye Mungu.Hongera MUNGU akubariki mkuu, umetumia maarifa aliyokujalia, kuelimisha jamii.
Nyie ndio mnazaa Machawa.. .Nilichokibaini hapa ni uwoga wa kubeba majukumu, aisee vijana acheni uwoga wa maisha.
Maisha ni zaidi ya mipango na matarajio.
We jamaa sasa umevuka mipaka. Mungu yupo ila sio kwamba ana msaada kivile kama tunavyoaminishana. Ila Yupo ametuumbaWafia dini wameaminishwa na kuaminishwa dhana zisizo na ukweli.
Mimi siamini kwenye Mungu.
Lakini nashukuru kwa mchango wako.
Mtu mwenye akili kipato kinapungua tu ila sio kufilisikaKufilisika ni kwa watu wajinga, maskini na wapumbavu kama wewe.
Mtu mwenye akili hafilisiki.
Mtoto akisha ondoka kwangu. Huyo sina shida naye tena.Na fainali ya malezi ya mtoto huja kipindi anapojitegemea na sio wakati unammiliki nyumbani!!
Wakati anaishi kwake ndio utajua faida ya malezi yako wala sio wakati unae nyumbani kwako,hapo anaweza igiza akiogopa uwepo wako!!
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.We jamaa sasa umevuka mipaka. Mungu yupo ila sio kwamba ana msaada kivile kama tunavyoaminishana. Ila Yupo ametuumba
We jamaa mtoto anauma wewe!!Mtoto akisha ondoka kwangu. Huyo sina shida naye tena.
Akiamua kubadilika ni yeye na maisha yake. Cha msingi tu, haishi kwangu tena na Asije kulia lia njaa au shida nyumbani kwangu maana nitamfurumusha.
Huyo Mungu wakuombwa hayupo.We jamaa mtoto anauma wewe!!
Omba mungu sana,unafikiri hai mateja,mashoga ,majambazi wazazi wao wanajisikiaje kama sio hasara ya maisha!!?
Huyo Mungu wakuombwa hayupo.
Ndio maana hata wazazi wenye watoto walevi, majambazi, mashoga na mateja n.k
Wamesha hangaika, wanahangaika na wana endelea kujihangaisha kumuomba huyo Mungu watoto wao wabadilike, Lakini Nothing happens.
Hii kitu kuna single maza nimemwambia juzi akamaindi sana.Litoto likisha amua kuwa na tabia mbovu, Na umemkanya vyakutosha hasikii. Niku lifukuza likafie mbali. Dunia ikamfunze