Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Huko Ujerumani, Italia, n.k wanawabembeleza watu wazaliane kwa kuwalopa, cnhi omejaa vikngwe baada ya watu kuwa na akili kama za mleta mada.
Kipi bora watu wazaliane na kujazana kama mapanya waipe serikali mzigo wa kutoa huduma, Au nchi iwe na watu wachache wanaopata huduma safi na bora?
 
Kuna wale wazazi wana uwezo, wana kila kitu. Wanazaa wtt wawili au watatu. Wanaprovide vizuri tu kwa kila kitu chao.
Lkn wanashindwa kwenye malezi yenye maadili mema. Mtu ana mtt mmoja au wawili tu lkn wanakuwa wahuni, mashoga, wasagaji, wala unga n.k
Hawa mie ndio huwa nalia nao. Maana na wao sijui tuseme pia wasizae!?
Bora wanazaa watoto wachache, wangekuwa wanafyatua watoto wengi halafu wakawa na tabia hizo sijui ingekuwaje
 
Nyie wazungu wa kuchovya kaeni na uzungu wenu Koko, sie waafrika kwetu watoto ni baraka nakila mtoto anakuja na riziki zake duniani. Umeshafanya utafiti kwa matajiri wakubwa duniani pamoja na viongozi wakubwa walitokea kwenye familia gani?, na wasanii maarufu
Hivi Christian Lonardo anawatoto wangapi?vipi Mark Zurich? Diamond anawato wangapi?kikubwa wazazi tujipange lakini kama unauwezo wa kizaa aisee zaa uwezavyo ..mama nyerere angezaa watoto 2 asingepata Julias Kambarage
 
Kulea ni nini hasa!!?

Elim Hadi chuo kikuu au mtaji wa mapesa akaunti!!?

Unaamini ukilea kwa dhana yako majibu lazima yawe positive!!?nauliza tu!!!

Timiza wajibu lakini hatma ya mtoto ni fumbo tu mkuu,nani ajuaye kuwa mtotowako awezakuwa shoga au mraibu wa dawa za kulevya hasta kama katoka familia bora au kasoma sana!!?

Nani ajuaye!!?

Kuna uzao was baraka na uzao wa laana hapa duniani!kama uzao wako ni wa laana hata usomeshe vipi utaona laana tu Kwa watoto!!

Zaa kwa kadiri uwezavyo na Lea kwa kadri ya majaaliwa huku ukiwaombea coz zama hizi ni za uovu hapa duniani!!

Maturity ni uwezo wa kuyatazama mambo katika three dimension sio one way process !!

Maisha hayana kanuni halisi ya kufuata zaidi ya discipline na bahati Kwa mtu husika!!!

Makinika !
 
Makahaba woote almost wote wametoka kwenye familia zilizochoka hasa kwa kuzaana kama panya huku uwezo wa uchumi kidogo

Zaa watoto kijana
Wa 4 wanatosha mkuu leba sio kama kwenda kariakoo,kuleta mtu duniani is never easy task , maana yake ni majukumu ya malezi yanayogharimu pesa,muda bila mwisho ,stress za malezi hajaumwa ,ale asome , kujinyima uhuru wako binafsi,kujikana nafsi,sometimes hata kuacha kazi zako zinazokuingizia kipato ili ulee mtoto awe mwenye manufaa na awe vile unataka na akubalike katika jamii alooo sio mchezo,KUZAA SIO KAZI KAZI KULEA
 
Nilichokibaini hapa ni uwoga wa kubeba majukumu, aisee vijana acheni uwoga wa maisha.

Maisha ni zaidi ya mipango na matarajio.
 
Back
Top Bottom