Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Wewe unasemaje mkuu?Napenda sana debate za jfš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unasemaje mkuu?Napenda sana debate za jfš¤£
Kama umeanza kuvuta bangi.sema, tutakuwlewa.tu.Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.
Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.
Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.
Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.
Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.
Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.
Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.
This world š is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.
I'm out.
Maelfu ya watoto wadogo wasio na hatia yeyote ile wamekufa na wanaendelea kufa huko mashariki ya kati.Yafaa nini watoto waliozaliwa Gaza?
Kuna muda kuleta watoto duniani ni kuja kuwahukumu kwa makosa ya wazazi š°
Kiasikolojia tu mtu ambaye hajapata tunda la uzazi ni tofauti kabsa na yule ambaye tayari ana watoto! Kama Baba ukipewa mkeka na mtoto wa vitu vya kununua aisee kuna feeling moja ya ajabu sanaBila kuwa na watoto tungempambania nani,au tungetafuta mali za nini
Kwa nini awe mpuuzi tena?Kuna siku nimetoka kupiga tukio mahali .ikabidi nitumie Tu P2 maana sikutaka kabisa kubaki na kinasaba chochote cha Yule mpuuzi..ziliniharibia mzunguko wangu nilijuta.p2 sio nzuri sema zinasaidia
š¤£š¤£š¤£Tulia wewešUtatuonyesha ni duka gani umezipata sawaš¤
Kwani wasingemzaa yeye angepata hasara gani????What if, wazazi wako wasingekuleta duniani kwa kumfikiria dhana hiyo na ikizingatiwa wewe si mtoto wa kwanza, usiogope majukumu we fyatua tu maana Mungu na shetani wanatupia jicho hapo hapo.
Maskini ana mali?Bila kuwa na watoto tungempambania nani,au tungetafuta mali za nini
Hakuna namna,ukishaona hapa siyo ni kumeza tu cute š¤£Kuna siku nimetoka kupiga tukio mahali .ikabidi nitumie Tu P2 maana sikutaka kabisa kubaki na kinasaba chochote cha Yule mpuuzi..ziliniharibia mzunguko wangu nilijuta.p2 sio nzuri sema zinasaidia
Nincompoop.Kama umeanza kuvuta bangi.sema, tutakuwlewa.tu.
Alikwambia wewe ?Mungu alisema zaeni mkajaze dunia,tusipozaa dunia itajaa sa ngapi,au wewe unatushawishi tumbishie MUNGU
Unaogopa changamoto za maisha kama shoga!!Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.
Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.
Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.
Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.
Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.
Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.
Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.
This world š is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.
I'm out.
Yaani nilikuja kugundua hafai kabisa kwa matumizi yaani nilimeza P2 overdose yaani usije kuwa hata kinasaba kikabaki kwa bahati mbaya kenge yuleKwa nini awe mpuuzi tena?
Acha uwogaNianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.
Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.
Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.
Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.
Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutekeleza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.
Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.
Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.
Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.
Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.
Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.
This world š is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.
I'm out.
Kwani wewe ndio unaleta mtoto? Anayeleta ni Mungu ndio maana wapo wengi wanajamiana lakini hawapati watoto. Acha mawazo ya kishoga!Bora ukose mtoto, kuliko ulete mtoto duniani halafu ushindwe kumlea.
Huwezi kosa Alfu 5 mfukoniHakuna namna,ukishaona hapa siyo ni kumeza tu cute š¤£