Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Tukiacha suala la pesa ambalo lina kanuni zake kidunia, Kuna suala la kumjenga mtoto kihisia, wazazi wengi hatulijui hili suala.

Wazazi tuwe tayari kulea watoto kwa commitments za hali ya juu sana, Unakuta watoto wadogo wadogo wako heart broken💔
Hatuko tayari kwa huu mjadala.

Mleta mada ana hoja.
Ukiwaambia watu kuwa uzazi sio kuingia leba au kupeleka watoto english medium pekee, mijitu inatunisha misuli ya kichwa kutetea uzwazwa.

Sasahivi kuna kizazi chenye mmomonyoko mkubwa wa kimaadili kwakuwa wazazi wanahisi wao walishamaliza kwenye kutoa huduma za kifedha pekee.

Mitoto mingi ya saivi haina heshima,haina utu,haina hofu,haina akili yaani ni MIZOMBIE. Mitoto haina future wala VISION. Ni huzuni huko siku za usoni jamii itakavyokuja kuparanganyika chanzo cha yote uzazi wa hovyohovyo bila kufata misinga na kuwa na malengo.
 
Ukweli mchungu: MASIKINI HATAKIWI KUWA NA MTOTO/WATOTO. AKILAZIMISHA KUWA NA WATOTO LAZIMA AWASABABISHIE HAO WATOTO TRAUMA YA KUDUMU.
PIGA NYUNDO ZA KICHWA, MASKINI WAMEZIBA MASKIO NA MAGUNZI. HAWASIKII WALA HAWAAMBILIKI😂😂😂😂

Maskini wanakazi ya kuchukia matajiri kwa ujinga wao wa kutokujipanga!!!
 
Hii kitu kuna single maza nimemwambia juzi akamaindi sana.

Nikamwambia huyo Mtoto wako ana zaidi ya miama 20 anafanya ujinga anaojua ukiendelea kujiliza eti unamuonea huruna yeye ndio atazidisha ujinga maana ameshakuteka akili. FUKUZIA MBALI Likafie mbele
Kwanini afukuzie mbali kwani huyo mtoto alimuomba huyo singo maza amzae😄😄😄😄

Let the woman reap what she sew🤝

Alivyopanua mapaja hovyohovyo akazaa hovyohovyo now its a pay back,,,,,tuna fatherless kids wengi sana na most of them ni KANSA katika jamii!!!!
 
A
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutelekeza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.
Afadhari single mother mmeanza kuwashtua walio bado kupata watoto
 
Hadzabe, tindiga, kina Bushmen wanakipato gani?

Umaskini kwa asilimia tisini ni ishu ya mindset tuu.
Hawana kipato ila wanawarithisha watoto wao ile teritory ambayo na wao watairithisha kwenda kizazi kingine and thus their life.

Wao bado wanaishi maisha ya kiunyamaunyama so ni kama simba akitaka kuanzisha familia lazima awe strong either by coallision au kama solo apambane amiliki teritory tena teritory yenye wanyama ambao wanatosheleza kwa chakula chake pia atahakikisha anapambana anakuwa na majike mengi ndo hapo sasa ataleta uzao wake.

Tena hawa wanyama wametupiga gap kubwa sana kiakili huwa hawalei watoto wa kambo hawana masingo maza huko mwituni,,,,,tuwe tunarudi kwenye nature kupata maarifa,busara na hekima🤝

Umaskini sio mindset umasikini ni mfumo ambao ukibweteka ukawa unangoja miujiza ya manabii,,,,,, umasikini utakuwa ruba katika uzao wako.

Mzazi anaplay part kubwa sana katika kuamua future ya kizazi chake,,,,babu zetu walibweteka walilala saa moja jioni na wakalala usingizi mnono usiku kucha masaa kumi na mbili mtu amelala leo hii tupo hapa tulipo kwasababu hicho ndo walichoturisisha. Pia walilima chakula cha kula na walipokula wakashiba walicheza mziki usiku kucha na kungonoka. Chakushangaza kuna jamii zinapractise hivi vitu mpaka leo, alafu bado unasema umaskini ni maindset????
 
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutelekeza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.
Kwa hii mada niseme wanaume tunapungua wavulana wanaongezeka.
Mwanaume hawezi kuandika ulichoandika.
 
Ndugu yawezekana wewe unakati ya hivi;
1.UNACHANGAMOTO YA KUTOFIKIRIA VYEMA.
au
2.UNAUPUNGUFU WA AKILI.
au
3.HUNA ELIMU WALA EXPOSURE YA KUTOSHA.

Jielimishe upya na pata kutoka ukatembee duniani huko utapata kujifunza na kuona mambo mapya yenye faida kedekede.
 
Hadzabe, tindiga, kina Bushmen wanakipato gani?
Hawana kipato.

Kwa vile ndio maisha waliyo yachagua na wanaishi kupambana nayo vizuri tu.
Umaskini kwa asilimia tisini ni ishu ya mindset tuu.
Sio mindset.

Ninacho zungumza hapa ni wale watu wanazaa watoto hovyo kama mapanya halafu hawana uwezo wa kuwahudumia.

Wahadzabe, Tindiga na Bushmen, kwanza wao hawategemei huduma za kijamii wao wanazaa wakijua kwamba watahudumia kila kitu wao wenyewe.

Kwanza hawalalamiki maisha ni magumu wanapambana na hali zao huko maporini na wanatoboa

Mimi nazungumzia haya makapuku huku mtaani ambayo yanazaa hovyo kama mapanya halafu yana telekeza familia zao kwa kigezo cha kwamba maisha ni magumu.
 
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutelekeza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.
Mada hii ni nzito na inagusa hisia na mitazamo tofauti kuhusu uzazi, majukumu, na hali ya maisha. Hii ni hoja inayoweka msisitizo mkubwa kwenye uwajibikaji wa wazazi, lakini pia inaweza kuonekana kama yenye ukali au kuhukumu kwa baadhi ya watu. Nitajibu kwa njia yenye uwiano, ikizingatia umuhimu wa suala hili:

Ukweli wa Gharama na Majukumu ya Uzazi​

  1. Watoto ni Gharama ya Uwekezaji wa Baadaye
    Ni kweli kwamba kuwalea watoto kunahitaji rasilimali nyingi, zikiwemo pesa, muda, na juhudi. Kuzaa bila mpango madhubuti kunaweza kuleta changamoto kubwa kwa familia na jamii kwa ujumla. Uzazi unahitaji uwajibikaji wa kifedha na kiroho ili kuhakikisha watoto wanapata mahitaji yao ya msingi kama elimu, chakula, afya, na malezi bora.
  2. Watoto Kama Baraka
    Wakati huo huo, watoto pia huonekana kama baraka kwa sababu wanawakilisha matumaini, furaha, na mwendelezo wa kizazi. Kwa wengi, watoto huleta maana kubwa maishani, na kuona maendeleo yao kunaweza kuwa chanzo cha furaha ya kudumu.

Umuhimu wa Mpango wa Familia​

  1. Elimu na Ufahamu wa Uzazi
    Katika jamii nyingi, changamoto kubwa ni ukosefu wa elimu ya uzazi wa mpango na athari zake. Wazazi wanapaswa kuelimishwa kuhusu njia za kupanga familia ili kuhakikisha wanawalea watoto wachache wanaoweza kuwahudumia kikamilifu.
  2. Kupambana na Umaskini
    Kuzaa watoto wengi katika mazingira ya umaskini kunazidisha changamoto za kiuchumi na kijamii. Hii inahimiza umuhimu wa kuwa na mpango wa maendeleo ya kifamilia kabla ya kufikiria kuongeza kizazi.

Maneno ya Kuonyesha Heshima na Usawa​

  • Kuheshimu Maoni ya Wengine: Sio kila mtu ana mtazamo wa moja kwa moja kuhusu uzazi. Watu wengine wanaamini Mungu au jamii itasaidia kulea watoto. Hata kama huungi mkono mtazamo wao, ni muhimu kuwa na mazungumzo yenye heshima.
  • Kuepuka Lugha ya Kukatisha Tamaa: Maneno makali kama “wapumbavu” au “wazembe” yanaweza kuwafanya watu kujihisi kushambuliwa badala ya kuelekezwa.

Hitimisho​

Maisha ni changamoto, na uzazi ni uamuzi mkubwa unaohitaji mipango, uwajibikaji, na maarifa. Ni sawa kusema kuwa kila mzazi anapaswa kuwajibika kikamilifu kwa watoto wake, lakini pia ni muhimu kuleta mjadala huu kwa njia ya kujenga zaidi na yenye huruma.

Wazo kuu ni kuhakikisha kila mtoto anayezaliwa anapata nafasi ya kuishi maisha yenye heshima na fursa, bila kusahau kuwa kila mtu anapaswa kushirikiana kujenga jamii yenye uwiano.
 
Waafrika hawapaswi kuambiwa ukweli kwa lugha ya kubembelezwa. Maana ni wagumu kuelewa.

Waafrika wanapaswa kuambiwa ukweli kwa lugha kali kabisa itakayo penya hadi kwenye medula oblongata..🧠

Waafrika sio watu wakucheka nao kabisa.
 
Don't come here to vomit your nonsense if you can't think and reason properly and critically.
I am not vomiting as you think. Population is power. In Africa we have a big land but small people. So we still need more people. Children is not curse but a lot of blessings from God.
 
mwanaume hajaumbwa kuogopa challenges. mwanaume ameumbwa kukumbatia changamoto na kusonga mbele.

huwezi kusema unaogopa kuitwa baba kisa huna hela

wewe kama mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una baby boy wa mika 3
Challenges zipo na kupambana nazo. Lakini kama unajua unachofanya kitakuelea challenge itayokushida why unaenda hiyo route?
 
Huu uzi umenikumbusha jambo, niliwah kumsikia mama mmoja akimwambia mwanae eti analala na wanaume ambao wasingemlala ili tu amtunze huyo mtoto, nikajisemea wakati unamvulia nguo huyo baba wa mtoto hukujua kuwa kuna kumlea?

OP una hoja usikilizwe...
 
I am not vomiting as you think. Population is power. In Africa we have a big land but small people. So we still need more people. Children is not curse but a lot of blessings from God.
Tanzania ina karibu watu milioni 61+ kulingana na sensa ya watu na makazi 2022.

Tanzania ina ardhi kubwa sana, Lakini hao watu millioni 61+ wengi wao wamejazana mijini tu.

Wanacho fanya huko mijini hakuna zaidi ya kubangaiza bangaiza tu.

Population is not power in Africa,

Population ya Afrika ni ujinga tu.
Kwanza ni kuongeza maskini tu.
 
Kwa hiyo na wewe hapo tayari ni gharama kwa waliokuzaa....???
 
Back
Top Bottom