Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Sijawahi kujutia kuzaa,nachojutia tu ni kuchelewa kuzaa kwa kusubiri mambo yakae vizuri...
 
What if, wazazi wako wasingekuleta duniani kwa kumfikiria dhana hiyo na ikizingatiwa wewe si mtoto wa kwanza, usiogope majukumu we fyatua tu maana Mungu na shetani wanatupia jicho hapo hapo.
Kwani kuna shida gani - angekuwa hayupo!
 
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutelekeza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.
Umesema ukweli sana! Wengi hawatakuelewa kabisa! Jiwe alisema fyatueni elimu ni Bure! Yule alikuwa mshamba! Ndio maana tuna panya road na wadudu wa Arusha! Ulaya na Marekani wanafanya usemavyo! Ndio maana hakuna makapurwa kama Afrika!
 
Umesema ukweli sana! Wengi hawatakuelewa kabisa! Jiwe alisema fyatueni elimu ni Bure! Yule alikuwa mshamba! Ndio maana tuna panya road na wadudu wa Arusha! Ulaya na Marekani wanafanya usemavyo! Ndio maana hakuna makapurwa kama Afrika!
Hivi unajua kama huko Ulaya unaposemea Kuna walala nje wengi tu!?
Kama mzazi wako angefikiria kama unavyofikiria ungekuwepo sasa hivi wewe!?
 
Ndugu yawezekana wewe unakati ya hivi;
1.UNACHANGAMOTO YA KUTOFIKIRIA VYEMA.
au
2.UNAUPUNGUFU WA AKILI.
au
3.HUNA ELIMU WALA EXPOSURE YA KUTOSHA.

Jielimishe upya na pata kutoka ukatembee duniani huko utapata kujifunza na kuona mambo mapya yenye faida kedekede.
Ninafikiria vema kuliko wewe bwana mdogo.
Nina akili kuliko wewe bwana mdogo.
Nina exposure kuliko unavyodhani.
Huwenda una akili mnato isiyoweza kuchanganua mambo.
 
You are a fool and don't come here to advertise your ignorance.

Hata mimi nimesema nilichosema.

Huelewi pita na miaaa.
Okay dunderhead pita kushoto.
My last advice to you,be a man not a boy.
 
I am ignoring you boy because of my wisdom.
Huwa sibishani na watoto.
Nimeshaku block.
Zumbukuku wewe.

Unafikiri kila mtu ni mtoto hapa JF kwa speculations zako uchwara.

You are a fool, idiot, nincompoop.

Kwendraa.
 
Tanzania ina karibu watu milioni 61+ kulingana na sensa ya watu na makazi 2022.

Tanzania ina ardhi kubwa sana, Lakini hao watu millioni 61+ wengi wao wamejazana mijini tu.

Wanacho fanya huko mijini hakuna zaidi ya kubangaiza bangaiza tu.

Population is not power in Africa,

Population ya Afrika ni ujinga tu.
Kwanza ni kuongeza maskini tu.
Acha tuongezeke tukose, chakula, tubinywe kisiasa, tufe kwa magonjwa,,, kama ulivyokuwa ulaya, Europe na Asia shida zitalazimisha maendeleo tu.
 
Ninafikiria vema kuliko wewe bwana mdogo.
Nina akili kuliko wewe bwana mdogo.
Nina exposure kuliko unavyodhani.
Huwenda una akili mnato isiyoweza kuchanganua mambo.
HAYA ENDELEA KUZAA HOVYO HUKU UKITEGEMEA BAHATI NASIBU IKUSAIDIE KUTOKA KATIKA UMASKINI BWANA MKUBWA MWENYE IQ 12
 
Waafrika hawapaswi kuambiwa ukweli kwa lugha ya kubembelezwa. Maana ni wagumu kuelewa.

Waafrika wanapaswa kuambiwa ukweli kwa lugha kali kabisa itakayo penya hadi kwenye medula oblongata..🧠

Waafrika sio watu wakucheka nao kabisa.
My bro,🤝 mkoloni mwenyewe hakubembeleza mtu ni kibano,kitanzi au mijeledi alafu kuna mtu anasema eti mtu kuambiwa ukweli hatajisikia vizuri😂😂😂WTF!!!Who gives a shit about your damn happiness bloody foool🤗🤗🤗

Mijitu myeusi ni kuitwanga tu na vitu vizito ndo akili zitakaa sawa, hakuna kubembelezana humu duniani.

Dunia sio mahali salama kwa watu wenye frigile emotions gaddemit😄😄😄vijana wanataka tuwahubirie mambo softsoft kama kwenda kukesha kidimbwi na kitambaa cheupe.

No time for shit hapa utapata mambo magumu kumeza dadeki.

Waafrica ni HALF HUMANS HALF ANIMALS.

#learn or perish!!!!
 
Back
Top Bottom