Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote.
Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki.
Tofautisha kati ya kuimba nyimbo na kutengeneza nyimbo.
Kisabengo anaimba nyimbo akisaidiwa na genge lake na bwana yake.
Jay dee alikuwa anatengeneza muziki wakati huo hana genge la kumsaidia uandishi wala ma-computer mengi mengi ya kumsupport.
Uandishi wa jay dee ulikuwa ni full content, ikiwamo story telling na kuunganisha patterns za maandishi na melody za wimbo,
Huyu kisabengo wenu ni vluuuuuuuuu kama boda boda.