Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

Huna hoja wewe kwahyo mwanafA nae ni mtoto wa 2000 hao wanaondaa tuzo wamezaliwa 2000 au unapanic tu
 
Lakini mleta uzi elewa kwamba hizi ni tuzo za mwaka 2024. Inawezekana Jay Dee ni mwandishi mzuri wa nyimbo ila kwa mwaka 2024 hana wimbo wowote.
 
Watoto wa 2000 wanapenda mziki wa matusi. Ni haki kusema vile.
Komando kamwacha mbali sana.
 
Ahahahah ndio maana nikasema huku tutafika mbali maana watoto wa siku hizi mtihami wa necta form 4 hesab wanaruhusiwa hata kuingia na calculator.

Watoto hata kutumia na kusoma four figure tables hawajui mpaka anahitim form 4
Wee unazungumzia four figure.......hata WAALIMU wao ni mtihani ni Kwa wema ya Mungu yani
 
Jei Dee alikuwa anaimba KWAYA zile na nyimbo nyingine alikuwa anamfumbia Gardner..WANAUME KAMA MABINTI ndio nini sasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…