Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

Hao akina Zuchu ni matokeo ya generations zilizopita kushindwa kuweka uelekeo na future ya Taifa.

Babu na Baba zao tuliendekeza ujinga na kufurahia ujinga wa watawala aka CCM matokeo yake ndio haya sasa.
 
Zuchu yuko vizuri sana zama zinabadilika sana, hata huko US kwasasa miziki mingi ni kusifia mademu na starehe kwahiyo akili zenu za miaka ile msilete sasa
 
I
Zuchu yuko vizuri sana zama zinabadilika sana, hata huko US kwasasa miziki mingi ni kusifia mademu na starehe kwahiyo akili zenu za miaka ile msilete sasa
Ila akili inabaki akili

Ujinga ni ujinga hata kama uuvalishe shanga

Upumbavu wenu ni wenu sio wetu.
 
I

Ila akili inabaki akili

Ujinga ni ujinga hata kama uuvalishe shanga

Upumbavu wenu ni wenu sio wetu.
Bahati nzuri huwezi kushindana na wakati, hizo akili zako hazina faida kwasasa maana Zuchu anapata show na airtime za kutosha , lady Jdee wakati umemtupa mkono na hakuna ambacho anaweza kufanya
 
Usiwashangae, hawakuwepo wakati bongo fleva ilipokuwa kwenye peak, jide na wengine
 
Mimi napita tu jide yule anadunia yake kabisa...ata zikipingwa leo nyimbo za jide ata ikulu unaingia uku unasikiliza ngoma za jay dee ila uyo ndio zuchu ata ofisi ya balozi huwiingi 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…