Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

Jei Dee alikuwa anaimba KWAYA zile na nyimbo nyingine alikuwa anamfumbia Gardner..WANAUME KAMA MABINTI ndio nini sasa !
Kwani kama aliimba Kwaya na zikapendwa kuna shida gani ndugu?

Hata Kwaya za TOT PLUS ya Komba tulizipenda pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…