Hamissi Hamza Jr
Senior Member
- Apr 16, 2020
- 103
- 209
Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",
Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂",
Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu Wangekuwa Mabilionea Maana Na Wao Ni Wanaume".