Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja",

Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂",

Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu Wangekuwa Mabilionea Maana Na Wao Ni Wanaume".
Niwakati wao
 
Tatizo siyo wao ni nyie wanaume mnapanda dau kubwa halafu unakutana na bwawa la mindu ama j puya bila kusahau gono ama viviu
Aaah wapi
Watoto wa 2000 wanagandwa kila siku yaani kila siku watu wanafika dau,(wanapanda dau)
Kama Una Malengo Kimbia,Bora Mishangazi hivyo vitoto vinapenda hela utafikiri vilizaliwa ATM
 
Back
Top Bottom